Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule ya Mugeza Mseto haina vyoo

SHULE ya Msingi Mugeza Mseto inakabiliwa na ukosefu wa vyoo na bafu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa viungo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Philemon Coelestine, alibainisha hayo juzi alipokuwa akitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa misaada kituo cha kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage juzi. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho.

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa, Ali Maswanya akikabidhi misaada mbalimbali Mwenyekiti wa kamati ya shule ya kulelea watoto yatima cha Mugeza Mseto Manispaa ya Bukoba Bi. Evelyne Mwijage. Kampuni ya Tigo ilitoa misaada kwenye kituo hicho

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WALALAMIKIA MICHANGO SHULE MSIMBAZI MSETO

Sehemu ya geti la Shule ya Msingi Msimbazi Mseto. BAADHI ya wazazi wenye watoto wanaosoma  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam wamelalamika  michango mingi shuleni hapo wakati hali yao ya maisha ni duni kwa kipato. Akizungumza na mtandao huu, mwenyekiti wa shule hiyo iliyoko Msimbazi Centre, jijini Dar e Salaam, January Lwambano,  alisema  utaratibu ulioko wa michango ni wa miaka minane na mara nyingi...

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO

 Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana.  Diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala akizungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Simeone Lihuluku.   Diwani wa kata ya Mgama, Denis Lupala akimpakulia chakula mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mgama wakati alipowatembelea na kula pamoja chakula cha mchana baadhi ya wanafunzi shule ya sekondari ya Mgama wakiwa katika foleni ya...

 

9 years ago

Habarileo

Shule yachangiwa fedha kujenga vyoo

WAKUU wa Idara Manispaa ya S u m b a w a n g a mkoani Rukwa wamelazimika kuchanga zaidi ya Sh 350,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo shule ya msingi Mazintiswe. Shule yenye wanafunzi 1,104 na walimu wao 24 inakabiliwa na adha ya kutokuwa na vyoo kwa miezi tisa sasa .

 

9 years ago

Vijimambo

UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO

IMG_4176
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)IMG_4174Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Exim yajenga vyoo shule ya msingi Kilakala

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi vyoo vya kisasa kwa shule ya msingi Kilakala iliyopo wilayani Temeke, Dar es Salaam ikiwa ni jitihada zake za kuboresha usafi na mazingira ya kujifunzia...

 

11 years ago

Mwananchi

Wilaya ya Moshi na aibu ya shule kukosa vyoo

>Kilimanjaro ya zamani sio ya sasa. Ile sifa ya mkoa huo kinara wa elimu nchini ilishaporomoka siku nyingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani