Wilaya ya Moshi na aibu ya shule kukosa vyoo
>Kilimanjaro ya zamani sio ya sasa. Ile sifa ya mkoa huo kinara wa elimu nchini ilishaporomoka siku nyingi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
11 years ago
MichuziSHULE YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA VYOO
11 years ago
Dewji Blog31 May
Halmashauri za wilaya, manispaa zakumbushwa kujenga vyoo mashuleni
Mwakilishi wa shirika la WaterAid Tanzania, Dk.Ibrahimu Kabole, akitoa taarifa yake kwenye ufungaji wa semina ya siku mbili iliyohusu usafi wa afya na mazingira iliyofanyika kwenye ukmbi wa mikutano wa Aqua vitae hotel mjini Singida.Wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya SEMA, Joramu Allute na katikati ni mdau wa maendeleo na mfanyabiashara maarufu mkoa wa Singida, Salum Nagji.
Na Nathaniel Limu, Singida
HALMASHAURI za Wilaya na manispaa ya Singida, zimehimizwa kuhakikisha shule zao...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Shule yachangiwa fedha kujenga vyoo
WAKUU wa Idara Manispaa ya S u m b a w a n g a mkoani Rukwa wamelazimika kuchanga zaidi ya Sh 350,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo shule ya msingi Mazintiswe. Shule yenye wanafunzi 1,104 na walimu wao 24 inakabiliwa na adha ya kutokuwa na vyoo kwa miezi tisa sasa .
9 years ago
Vijimambo24 Aug
UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
![IMG_4176](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_4176.jpg)
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
![IMG_4174](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_4174.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Shule ya Mugeza Mseto haina vyoo
SHULE ya Msingi Mugeza Mseto inakabiliwa na ukosefu wa vyoo na bafu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa viungo. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Philemon Coelestine, alibainisha hayo juzi alipokuwa akitoa...
11 years ago
Dewji Blog29 May
Shule za msingi Singida zakabiliwa na uhaba wa vyoo
Na Nathaniel Limu, Singida
MKOA wa Singida unakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo 24,743 katika shule zake za msingi kitendo kinachochangia pamoja na mambo mengine mahudhurio kuwa mabaya ya wanafunzi.
Upungufu huo ni sawa na asilimia 60.6 ya mahitaji halisi ya matundu ya vyoo katika shule za msingi mkoani hapa.
Hayo...