Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu
Jana katika ukurasa wa sita wa gazeti hili kulikuwa na habari iliyosomeka ‘shule kufungwa kwa kukosa choo’. Habari hiyo ilisema Shule ya Msingi Bufanka wilayani Bukombe mkoani Geita ipo hatarini kufungwa kutokana na choo cha wanafunzi kutitia hivyo kuhatarisha usalama wao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Shule yafungwa kwa kukosa choo
SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Wilaya ya Moshi na aibu ya shule kukosa vyoo
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
11 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
UNIC yaelimisha siku ya choo kwa vijana walio nje ya shule
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Kukosa Choo: Tatizo sugu linalowatesa wengi
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.
Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.
Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.
Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...