Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNIC yaelimisha siku ya choo kwa vijana walio nje ya shule

Siku ya choo duniani ambayo huadhimishwa tarehe 19 Novemba. UNIC waliadhimisha siku hii kwa kuwakutanisha vijana walioko nje ya shule  tarehe 23 Desemba 2014 kwa lengo la kuwaelimisha na kuwahamasisha  utumiaji wa vyoo ili na wao waweze kuelimisha jamii zinazowazunguka juu ya umuhimu wa kuwa na vyoo. Tukio hili liliwakutanisha vijana toka vikundi 5:   Azimio Youth Group, Makangarawe Youth Development Fund, Mashine Ya Maji Youth Development Centre,Temneke Youth Development Foundation na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE

Afisa vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Godfrey Massawe (aliyesimama) akifuatilia majadiliano ya wawezeshaji kitaifa wakati wa kazi za kikundi kwenye Mafunzo ya Uwezeshaji wa Stadi za Maisha yaliyofanyika Kanda ya Ziwa.


Na: Genofeva Matemu - Maelezo

ILIGUNDULIKA kuwa ulimwenguni kote na hususan nchini Tanzania, Vijana walio nje ya shule ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa yanayoenea kwa njia ya ngono, VVU na UKIMWI kwa kutokuwa na taarifa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule yafungwa kwa kukosa choo

SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo

Mkaguzi Mkuu wa Shule za Msingi wilayani Tarime Josephu Mowinga ameifungia Shule ya msingi Kegonga iliyopo kata ya Kegonga baada ya kubainika haina choo kwa muda mrefu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu

Jana katika ukurasa wa sita wa gazeti hili kulikuwa na habari iliyosomeka ‘shule kufungwa kwa kukosa choo’. Habari hiyo ilisema Shule ya Msingi Bufanka wilayani Bukombe mkoani Geita ipo hatarini kufungwa kutokana na choo cha wanafunzi kutitia hivyo kuhatarisha usalama wao.

 

9 years ago

StarTV

Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.

Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.

Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.

Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walio nje ya nchi waonyeshe kwa vitendo watasaidia vipi nchi

TUMESHAZOEA maneno ya wanasiasa wanapopiga kampeni za kutafuta kuchaguliwa na wananchi. Wengi wao wanakuja na ahadi kemkem kama njia ya kutaka kuwavutia watu kuwa wao ndio wanafaa katika nafasi hiyo...

 

11 years ago

GPL

UNIC YAHAMASISHA VIJANA MKOANI DODOMA KUANZISHA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA MASHULENI‏

Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama, akibadilishana mawazo na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kikuyu Mwl. Zaituni Mkoyi alipotembelea shuleni hapo kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi kuanzisha vilabu vya Umoja wa Mataifa. Katikati ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa shule hiyo Bw. Francis Tumaini. Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha… ...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati akifungua mkutano uliowashirikisha Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani