Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walio nje ya nchi waonyeshe kwa vitendo watasaidia vipi nchi

TUMESHAZOEA maneno ya wanasiasa wanapopiga kampeni za kutafuta kuchaguliwa na wananchi. Wengi wao wanakuja na ahadi kemkem kama njia ya kutaka kuwavutia watu kuwa wao ndio wanafaa katika nafasi hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Nchi imejiandaa vipi kwa mwaka 2016?

"UCHUMI mnao, lakini mmeukalia!” Utotoni nilipata kusikia redioni kauli hii ya Mwalimu .

Maggid Mjengwa

 

10 years ago

Michuzi

mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar

Mheshimiwa Dk. Binilith Mahenge Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira ametoa rai kwa Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuweka juhudi katika kupambana na changamoto za mabadiliko ya Tabia Nchi.
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AJIRA NCHI ZA SADC, PROGRAMU YA MAFUNZO KWA VITENDO YAZINDULIWA

Na Leandra Gabriel na Avila Kakingo, Globu ya JamiiPROGRAMU ya  Taifa ya mafunzo ya vitendo kwa wahitimu wa elimu ya juu (Intership Training Program) imezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hafla iliyoenda sambamba na ufunguzi wa mkutano na mawaziri wa sekta ya kazi na ajira na wadau wa utatu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC.)
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo Samia amesema kuwa mafunzo hayo...

 

10 years ago

CloudsFM

FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI

Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.

 

10 years ago

GPL

FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI

Msanii wa muziki, Francia Chengula akiuliza swali kuhusu kwa nini Watanzania waliopo nje ya nchi hawaruhusiwi kupiga kura aidha kwa vyama au kwenye chaguzi kuu. Francia aliuliza swali hili wakati wa Semina ya Viongozi wa mashina ya CCM ya Uingereza iliyo fanyika.

 

5 years ago

Michuzi

KABUDI AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJITOA MUHANGA KWA MASLAHI YA NCHI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma tarehe 14 Machi, 2020. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Prof. Kabudi amewataka Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kwa kujituma na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge...

 

10 years ago

Michuzi

Mada ya mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia na athari zake kwa nchi yawasilishwa kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje

Bw. Allan William mtaalamu wa sekta za kibenki nchini, akizungumza katika mhadhara na Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juu ya Mwenendo wa bei za mafuta duniani  na athari zake kwa nchi yetu, mhadhara huo umefanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa JNICC uliopo jijini Dar es Salaam mapema leo Asubuhi.Balozi Simba Yahaya, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati (wa kwanza kulia), Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Austrasia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani