FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI
Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Dec
Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi
![Adam Jumaa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/05/Adam-Jumaa-300x194.jpg)
Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.
Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.
“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
9 years ago
Bongo517 Dec
Kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu – Fid Q
![Fidq](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Fidq-300x194.jpg)
Fid Q anaiunga mkono kasi ya wasanii wa Bongo kwenda kushoot video zao nje ya nchi, na kuongeza kuwa inasaidia kufanya watu wafatilie kwa ukaribu ujio wa kazi hiyo.
“Nadhani kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu, unajua wabongo ukisema unaenda kufanya video nje ya nchi tayari wanakuwa wanaisubiria kwahiyo sidhani kama ni kosa, ni kitu kizuri kwasababu kinasaidia mtu kunotice kama kuna kitu ulifanya.” Alisema Fid Q kupitia 255 ya XXL.
“Nimeona wasanii wametoa video hivi karibuni...
11 years ago
CloudsFM29 May
WAMASAI WAMZUIA “MWANA FA” ASIENDE KUSHUTI VIDEO YA “MFALME” NJE YA AFRIKA MASHARIKI
Staa wa ngoma ya ‘’Mfalme’ Mwana FA huenda angeenda kuishoot nje ya mipaka ya Africa Mashariki ili kufata viwango kama ilivyokua kwenye ngoma yao yeye na ay, “bila kukunja goti” ila kuna sababu ya msingi imefanya msanii huyo afute wazo la kwenda kushuti video hiyo nje ya Africa Mashariki.
Lakini pia mwana fa alikua ana ngoma nyingine kali featuring Ally Kiba ambayo kama ingepata kura za kutosha ingetoka kabla ya mfalme.Clouds fm imepiga story na fa huyu hapa...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2015. Pamoja na mambo mengine Balozi Mulamula aliwahimiza Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje...
9 years ago
Bongo519 Oct
Video ya Belle 9 ‘Shauri Zao’ yatambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje
![_K0A1374](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/K0A1374-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo512 Dec
Video Mpya ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza SoundCity Tv Nigeria Dec.12
![ben soundcity](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/ben-soundcity-300x194.jpg)
Ben Pol amezianza rasmi mbio za kuelekea safari yake ya kimataifa, kwanza kwa kufanikiwa kushoot video yake ya kwanza na director wa nje, Justin Campos wa Afrika Kusini, na sasa video hiyo imepewa baraka za kutambulishwa na kituo kikubwa cha runinga cha Nigeria, SoundCity TV.
Video ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji mrembo wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M itatambulishwa kwa mara ya kwanza Jumamosi Dec.12 kwenye kipindi cha Top 10 East saa tano asubuhi saa za Afrika...