Video Mpya ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza SoundCity Tv Nigeria Dec.12
Ben Pol amezianza rasmi mbio za kuelekea safari yake ya kimataifa, kwanza kwa kufanikiwa kushoot video yake ya kwanza na director wa nje, Justin Campos wa Afrika Kusini, na sasa video hiyo imepewa baraka za kutambulishwa na kituo kikubwa cha runinga cha Nigeria, SoundCity TV.
Video ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji mrembo wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M itatambulishwa kwa mara ya kwanza Jumamosi Dec.12 kwenye kipindi cha Top 10 East saa tano asubuhi saa za Afrika...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Mabibi na mabwana tumealikwa na Ben Pol kuitazama hapa video yake mpya ‘ningefanyaje’
Staa wa R’n’B Tanzania ambaye ni mshindi wa tuzo za KTMA Ben Pol ametuletea video mpya ya single ya ‘ningefanyaje’ aliyowashirikisha Avril na Rossie M, video imefanywa South Africa na director Justin Campos Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]
The post Mabibi na mabwana tumealikwa na Ben Pol kuitazama hapa video yake mpya ‘ningefanyaje’ appeared first on...
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Ben Pol aeleza sababu zilizopelekea Avril kutoonekana kwenye video ya ‘Ningefanyaje’
Siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake – ‘NINGEFANYAJE’, muimbaji wa R&B kutoka Tanzania, Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ameeleza sababu zilizopelekea muimbaji Avrilkutoka Kenya aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo, kutoonekana kwenye video hiyo anayoitaja kuwa kubwa kuliko video zote alizowahi kufanya.
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
‘Ningefanyaje’ yamfungia mwaka Ben Pol
NA BADI MCHOMOLO
MKALI wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’, anaumaliza mwaka kwa kuachia video ya Ningefanyaje ambayo amemshirikisha msanii kutoka nchini Kenya, Aviril Nyambura.
Video hiyo tayari imeachiwa jana katika vituo mbalimbali vya runinga hapa nchini, huku ikiwa imeandaliwa na mtayarishaji Mswaki.
Ben Pol amesema vipande vya video hiyo vimefanyika mjini Pretoria, nchini Afrika Kusini chini ya mwongozaji, Justin Campos, akiwa na kampuni yake ya Gorilla Films.
Msanii huyo...
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Mpya: Kwa mara ya kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyolitikisa jiji la Tanga Dec 25
Harmonize ni moja kati ya wasanii walioibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki hapa nchini, achilia uwezo wa kuimba pekee..! bali namna pia anavyoweza kulimiliki jukwaa, ni wengi hawajawahi kumshuhudia msanii huyu pindi awapo stejini, sasa hapa leo nakuweka karibu naye upate kushuhudia baadhi ya matukio yaliyojiri katika show yake ya kwanza aliyoifanya usiku wa […]
The post Mpya: Kwa mara ya kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyolitikisa jiji la Tanga Dec 25 appeared first on...
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base
![Chege mtv](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chege-mtv-300x194.jpg)
Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)
Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song ya ‘Aiyola’ Shangwe lilifanyika Tanga, Tanzania. Licha ya yote, kuna mambo yalitokea na hakuyapenda. Unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitazama video yote. Unataka kutumiwa MSG […]
The post Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video) appeared first on...
11 years ago
GPL19 Jul
10 years ago
Bongo528 Oct
Ben Pol azungumzia ndoa na video mpya na Nisher
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/81i3dybXK8U/default.jpg)