Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO MPYA: STEREO FT BEN POL USIONE HATARI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ben Pol azungumzia ndoa na video mpya na Nisher

Ben Pol amesema kama Mungu akimjalia basi huenda akafunga ndoa na mpenzi wake Miss Tanzania namba mbili 2013, Latifa Mohamed. Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa ukaribu alionao na Latifa unampa matumaini ya kudumu kwa uhusiano wao. “Tupo karibu sana, suala la ndoa sijui nisemeje lakini, kama mwanaume kamili tena kwa mila zetu nitaoa tu lakini, […]

 

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na mabwana tumealikwa na Ben Pol kuitazama hapa video yake mpya ‘ningefanyaje’

Staa wa R’n’B Tanzania ambaye ni mshindi wa tuzo za KTMA Ben Pol ametuletea video mpya ya single ya ‘ningefanyaje’ aliyowashirikisha Avril na Rossie M, video imefanywa South Africa na director Justin Campos Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]

The post Mabibi na mabwana tumealikwa na Ben Pol kuitazama hapa video yake mpya ‘ningefanyaje’ appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Video Mpya ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza SoundCity Tv Nigeria Dec.12

ben soundcity

Ben Pol amezianza rasmi mbio za kuelekea safari yake ya kimataifa, kwanza kwa kufanikiwa kushoot video yake ya kwanza na director wa nje, Justin Campos wa Afrika Kusini, na sasa video hiyo imepewa baraka za kutambulishwa na kituo kikubwa cha runinga cha Nigeria, SoundCity TV.

ben soundcity

Video ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji mrembo wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M itatambulishwa kwa mara ya kwanza Jumamosi Dec.12 kwenye kipindi cha Top 10 East saa tano asubuhi saa za Afrika...

 

9 years ago

Bongo5

Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…

Ben SA-1

Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.

Ben SA-1

Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.

Ben pol na Patoranking2
Ben Pol na Patoranking

Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...

 

9 years ago

MillardAyo

2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video)

Mkali wa R&B kutoka Bongo TZ, Ben Pol anafunga mwaka 2015 huku akiacha kumbukumbu nzuri za headlines za hit ya ngoma ya ‘Sophia‘ ambayo imependwa na bado inapendwa na wengi… ukali wa ngoma hiyo ulifanya akina Quick Rocka, Peter Msechu nao kuingia studio kuiimbia copy ya aina yake, hicho ni kitu ambacho sio mara nyingi […]

The post 2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video) appeared first on...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: BEN POL ft. AVRIL & ROSSIE M - NINGEFANYAJE (Official Video)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani