Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu – Fid Q

Fidq

Fid Q anaiunga mkono kasi ya wasanii wa Bongo kwenda kushoot video zao nje ya nchi, na kuongeza kuwa inasaidia kufanya watu wafatilie kwa ukaribu ujio wa kazi hiyo.

Fidq

“Nadhani kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu, unajua wabongo ukisema unaenda kufanya video nje ya nchi tayari wanakuwa wanaisubiria kwahiyo sidhani kama ni kosa, ni kitu kizuri kwasababu kinasaidia mtu kunotice kama kuna kitu ulifanya.” Alisema Fid Q kupitia 255 ya XXL.

“Nimeona wasanii wametoa video hivi karibuni...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

10 years ago

CloudsFM

FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI

Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje

_K0A1374Belle 9 anadhani Tanzania ina waongozaji wakali na location za kuvutia kufanya video za muziki kiasi ambacho haoni sababu ya kusafiri kwenda kufanya video zake nje ya nchi.  Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ hivi karibuni, amesema uwezo wa waongozaji wa Tanzania akiwemo Hanscana unatosha kabisa kumpa video yenye ubora. Amesema kama […]

 

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi

Hemedy PHD ni miongoni mwa wasanii wanaowekeza katika kufanya video nzuri lakini kwa kutumia watayarishaji, waongozaji na maeneo ya wa hapa hapa nyumbani Tanzania. Msanii huyo wa muziki na filamu amesema kuwa hana mpango wa kwenda kushoot video za nyimbo zake nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya wasanii wengine. Staa huyo ambaye ameachia wimbo […]

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo 45 waagwa rasmi kwa ajili ya kwenda nje kufanya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizungumza na wanamichezo wanaoenda kuweka kambi katika nchi za New Zealand, Ethiopia, China na Uturuki ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola mapema mwezi julai. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo akifafanua...

 

9 years ago

MillardAyo

Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli

Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne ambao wamekwenda nje ya nchi bila ruhusa yake, wamezungumziwa kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za […]

The post Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi  Mawaziri Waandamizi wa zamani,  Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7  kwa kutoa msamaha wa kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMEONDOKA KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO MPYA

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao. Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege. Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani