Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND AMEONDOKA KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO MPYA

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao. Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege. Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond kufanya video Nigeria

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ameondoka nchini juzi usiku kwenda Nigeria kwa ajili ya kufanya video ya ngoma yake mpya ambayo hakutaka kuitaja jina. Katika...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?

tekno-miles-1

Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.

tekno-miles-1

Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.

“Forget About DURO… we are about to...

 

9 years ago

Bongo5

Young Dee ajipanga kwenda Nigeria kufanya ngoma na Patoranking

11410733_445859338931643_183989700_n

Rapper Young Dee amesema yupo kwenye mpango wa kusafiri kuelekea nchini Nigeria kwa ajili ya project yake na Patoranking.

11410733_445859338931643_183989700_n

Young Dee amesema bado kuna mambo anayaweka sawa na yakikamilika atasafiri.

“Bado kusafiri tu, sema sasa hivi kuna mambo nayaweka sawa pia kuna project nyingine zinakuja lakini kikubwa zaidi kuna mambo makubwa yanakuja,” Young Dee ameiambia Bongo5.

Wazo la kufanya kazi na Patoranking lilikuja baada ya watu wengi kudai kuwa Young Dee anafanana na msanii huyo.

Jiunge na...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Belle 9 adai waongozaji wa Bongo na location nzuri za nyumbani zinamshawishi kutofikiria kwenda kufanya video nje

_K0A1374Belle 9 anadhani Tanzania ina waongozaji wakali na location za kuvutia kufanya video za muziki kiasi ambacho haoni sababu ya kusafiri kwenda kufanya video zake nje ya nchi.  Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ hivi karibuni, amesema uwezo wa waongozaji wa Tanzania akiwemo Hanscana unatosha kabisa kumpa video yenye ubora. Amesema kama […]

 

9 years ago

Bongo5

Kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu – Fid Q

Fidq

Fid Q anaiunga mkono kasi ya wasanii wa Bongo kwenda kushoot video zao nje ya nchi, na kuongeza kuwa inasaidia kufanya watu wafatilie kwa ukaribu ujio wa kazi hiyo.

Fidq

“Nadhani kwenda kufanya video nje ya nchi ni kama trend tu, unajua wabongo ukisema unaenda kufanya video nje ya nchi tayari wanakuwa wanaisubiria kwahiyo sidhani kama ni kosa, ni kitu kizuri kwasababu kinasaidia mtu kunotice kama kuna kitu ulifanya.” Alisema Fid Q kupitia 255 ya XXL.

“Nimeona wasanii wametoa video hivi karibuni...

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria. Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani