Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young Dee ajipanga kwenda Nigeria kufanya ngoma na Patoranking

11410733_445859338931643_183989700_n

Rapper Young Dee amesema yupo kwenye mpango wa kusafiri kuelekea nchini Nigeria kwa ajili ya project yake na Patoranking.

11410733_445859338931643_183989700_n

Young Dee amesema bado kuna mambo anayaweka sawa na yakikamilika atasafiri.

“Bado kusafiri tu, sema sasa hivi kuna mambo nayaweka sawa pia kuna project nyingine zinakuja lakini kikubwa zaidi kuna mambo makubwa yanakuja,” Young Dee ameiambia Bongo5.

Wazo la kufanya kazi na Patoranking lilikuja baada ya watu wengi kudai kuwa Young Dee anafanana na msanii huyo.

Jiunge na...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMEONDOKA KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO MPYA

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao. Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege. Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda…

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kayala ajipanga kufanya makubwa

MUIMBAJI wa nyimbo za injili anayetamba na wimbo ‘Siwema’, George Kayala, ameahidi kuweka rekodi katika uzinduzi wa albamu yake ya ‘Siwema’ utakaofanyika katika Kanisa la WRM, Matembele ya Pili Kivule...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Africanjam.Com

11 years ago

GPL

FUMANIZI LA LULU, YOUNG DEE UTATA

Stori:  Musa Mateja na Mayasa Mariwata
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa. ...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Ruby ajipanga kufanya kolabo na Christian Bella

Muimbaji wa ‘Na Yule’, Ruby amesema anatarajia kumshirikisha Christian Bella. Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Ruby alisema muda wowote wataingia studio na kuandaa kazi hiyo. “Tunataka kufanya kolabo kwa sababu wasanii kwa wasanii kufanya kolabo sio kitu kibaya. Halafu Bella anafanya vizuri na pia anani- appreciate na mimi nam-appreciate. He is […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani