FUMANIZI LA LULU, YOUNG DEE UTATA
Stori: Musa Mateja na Mayasa Mariwata MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa. ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
11 years ago
GPL20 Jul
10 years ago
Africanjam.Com10 years ago
GPL19 Sep
10 years ago
Bongo531 Mar
New Music: Navy Kenzo Ft Young Dee — Viza
9 years ago
Mtanzania12 Dec
YOUNG DEE KUPAMBA AFTER SCHOOL BASH LEO
TAMASHA la burudani linalohusisha wanafunzi kutoka shule na vyuo mbalimbali linaloitwa After School Bash linafanyika leo kwenye ufukwe wa Escape One jijini Dar es Salaam ambapo nyota mbalimbali wa muziki wakiongozwa na David Genzi ‘Young Dee’ watatumbuiza.
Akipiga stori na Swaggaz kuhusiana na tamasha hilo, Young Dee alisema amejiandaa vya kutosha kuhakikisha
mashabiki wake watakaokwenda kwenye ufukwe huo watapata burudani ya nguvu kutoka kwake.
“Binafsi nimejiandaa poa kuhakikisha kwamba...
10 years ago
Bongo529 Nov
New Video: Quick Rocka f/ Young Dee — Bishoo