Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YOUNG DEE KUPAMBA AFTER SCHOOL BASH LEO

11205845_1702680259954682_1343396100_nTAMASHA la burudani linalohusisha wanafunzi kutoka shule na vyuo mbalimbali linaloitwa After School Bash linafanyika leo kwenye ufukwe wa Escape One jijini Dar es Salaam ambapo nyota mbalimbali wa muziki wakiongozwa na David Genzi ‘Young Dee’ watatumbuiza.

Akipiga stori na Swaggaz kuhusiana na tamasha hilo, Young Dee alisema amejiandaa vya kutosha kuhakikisha
mashabiki wake watakaokwenda kwenye ufukwe huo watapata burudani ya nguvu kutoka kwake.

“Binafsi nimejiandaa poa kuhakikisha kwamba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

ON STAGE After School Bash: Tazama walichokifanya Navy Kenzo, Jux, Baraka, Young D, Mirror, Ruby na wengine

Ni kutoka kwenye After Skul Bash December 12 2015 Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo mastaa kibao wa muziki Tanzania walitokezea kwenye stage wakiwemo Navy Kenzo, Jux, Ruby, Baraka da Prince, Young D na wengine watazame kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post ON STAGE After School Bash: Tazama walichokifanya Navy Kenzo, Jux, Baraka, Young D, Mirror, Ruby na wengine appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

11 years ago

GPL

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

GPL

AFTER SCHOOL BASH YATIKISA JIJI LA DAR

Umati wa watu waliohudhuria Tamasha la After School Bash eneo la Escape One jana.…

 

10 years ago

GPL

11 years ago

GPL

FUMANIZI LA LULU, YOUNG DEE UTATA

Stori:  Musa Mateja na Mayasa Mariwata
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani