After School Bash yafunika Escape One,Mikocheni



CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM12 Dec
Ommy Dimpoz akizungumzia shoo ya After Skul Bash itakayofanyika kesho Jumamosi,Escape One,Mikocheni
Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akizungumzia shoo ya After Skul Bash kwenye kipindi cha Xxl cha Clouds fm,akiwa na Dj Fetty na B Dozen,shoo hiyo itafanyika kesho pande za Escape One,Mikocheni,jijini Dar.
11 years ago
Dewji Blog31 Jul
Skylight Band yafunika mbaya Eid Mosi ndani ya Escape One!
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony Masamba pamoja na Aneth Kushaba AK47.
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani kuwapa raha mashabiki wa Skylight Band katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ukumbi wa Escape One.
Mashabiki wa Skylight Band mdogo mdogo wakiachia kwenye dancing floor.
Sam Mapenzi akitoa burudani...
11 years ago
GPL
SKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE!
10 years ago
CloudsFM30 Jan
MAANDALIZI YA TAMASHA LA MIAKA 10 YA THT Escape 1 MIKOCHENI YAKAMILIKA
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto, Mataluma, Vumi, Beka, Recho, Marlaw, Msami, Makomando na wengine wengi, imejipanga kutoa burudani kubwa ya mziki kwa mashabiki wake.
Akizungumza kuhusu maandalizi...
9 years ago
Bongo527 Nov
Instagram Party kufanyika Jumamosi hii, Escape One Mikocheni, Dar

KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika Jumamosi hii maeneo ya Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic ideaz, Fred Ngimba akifafanua jambo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari Ijumaa hii katika fukwe za Escape One kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya tamasha kubwa la burudani litakalofanyika jumamosi hii tarehe 28...
10 years ago
Michuzi
Maadhimisho ya miaka kumi ya THT Jumamosi hii Escape 1, Mikocheni

· Viingilio shilingi elfu 15 kwenye vituo na elfu 20 mlangoni
Tamasha la miaka kumi ya THT litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya Escape 1 Mikocheni, limekamilisha maandalizi yake na hivyo kuwataka wadau na wapenzi wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani kubwa ya mziki hapa nchini.
THT, ambayo inasifika kwa kuzalisha wasanii mahiri nchini kama Linah, Barnaba, Mwasiti, Ditto,...
10 years ago
CloudsFM02 Feb
10 years ago
MichuziTAMASHA LA FAHARI YA MWAFRIKA KUFANYIKA OKTOBA 3,2015 CLUB YA ESCAPE ONE MIKOCHENI JIJINI DAR
11 years ago
MichuziRedd's miss Kinondoni 2014 kujulikana kesho ndani ya Escape One mikocheni jijini Dar