Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMASAI WAMZUIA “MWANA FA” ASIENDE KUSHUTI VIDEO YA “MFALME” NJE YA AFRIKA MASHARIKI

Staa wa ngoma ya ‘’Mfalme’ Mwana FA huenda angeenda kuishoot nje ya mipaka ya Africa Mashariki ili kufata viwango kama ilivyokua kwenye ngoma yao yeye na ay, “bila kukunja goti” ila kuna sababu ya msingi imefanya msanii huyo afute wazo la kwenda kushuti video hiyo nje ya Africa Mashariki. Lakini pia mwana fa alikua ana ngoma nyingine kali featuring Ally Kiba ambayo kama ingepata kura za kutosha ingetoka kabla ya mfalme.Clouds fm imepiga story na fa huyu hapa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

FID Q KUSHUTI VIDEO NZURI KWA MARA YA KWANZA NJE YA NCHI

Rapa Fid Q amekiri kuwa hajawahi kuwa na video nzuri kwa zaidi ya miaka kumi aliyokaa katika game ya muziki wa bongo flava hapa Bongo,Fid Q amefunguka mpango wake wa kwenda kushuti video kali kwa mara ya kwanza nje ya nchi.

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.

Adam Jumaa

Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.

“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...

 

11 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mfalme’ ya Mwana FA imeongozwa na Kelvin Bosco, aliyeongoza ‘Asante’ ya AY

Msanii wa Hip Hop, Hamis Mwinjuma aka Mwana FA anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘Mfalme’ aliomshirikisha G-Nako baada ya kushoot video hiyo nchini Kenya. Akiongea na Bongo5, jana, G-Nako, alisema kuwa Mwana FA alikuwa na idea ya video hali ambayo ilisaidia video hiyo kufanyika kwa muda mfupi. “Director ambaye tumefanya naye video ni yule […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Nguvu ya lugha ya Kiswahili nje ya mipaka ya Afrika Mashariki

Kiswahili ni lugha pekee ya Afrika ambayo imetambuliwa rasmi na Umoja wa Afrika, ambayo pia inaonesha kuendelea kupata umaarufu.

 

9 years ago

StarTV

Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.

Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.

 

Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...

 

10 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mwana’ ya Alikiba kutambulishwa ‘exclusive’ na vituo 4 vya nje ya Tanzania

Video ya Mwana ya Alikiba ambayo inatoka rasmi leo (Dec.16) itaanza kuonekana exclusive kwenye vituo vinne vya nje ya mipaka ya Tanzania kwa mara ya kwanza. Kwa mujibu wa promo ambayo Alikiba ameifanya kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii, vituo vitakavyoanza kuionesha video yake kwa mara ya kwanza ni 1 Music Networks na Sound […]

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya

FA

Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.

FA

Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani