SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati akifungua mkutano uliowashirikisha Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali yaandaa Sera mpya ya bima
Serikali inaandaa sera mpya ya Bima itakayosimamia haki ya matibabu kwa abiria wanaopata ajali za barabarani wakati wanaposafiri na vyombo vya usafiri katika maeneo mbalimbali nchini.
Serikali imeanzisha pia Mahakama ya Bima itakayosimamia usuluhishi wa malalamiko ya malipo ya bima kutoka kwa abiria wasioridhishwa na malipo yanayofanywa na baadhi ya kampuni za bima pindi wanapopata ajali.
Maandalizi ya Sera hiyo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania, TIRA,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Sera ya Diaspora yakamilika
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema rasimu ya sera ya Diaspora ipo katika hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu itaingizwa kwenye utaratibu wa serikali ili iwasilishwe kwenye Baraza...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Tanzania yaongoza kuvutia mitaji ya nje ya uwekezaji
TANZANIA inaongoza kama nchi yenye mitaji mikubwa ya uwekezaji toka nje katika Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa taarifa ya hivi karibuni ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Biashara na...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Pinda-Sera ya Diaspora yaandaliwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Rasimu ya Sera ya Diaspora iko kwenye hatua za mwisho za maandalizi na muda si mrefu, itaingizwa kwenye utaratibu wa Kiserikali ili iweze kuwasilishwa kwenye Baraza la Mawaziri.
11 years ago
Michuzi14 Jul
SERA YA DIASPORA IKO MBIONI KUKAMILIKA - PINDA
Akizungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London mwishoni mwa wiki, Waziri Mkuu alisema mchakato wa kuandaa rasimu hiyo ulihusisha wadau wengi kwa kadri ilivyowezekana ili kupata wigo mpana wa suala zima la...
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Watanzania walio nje wana mchango mkubwa wakipewa fursa
AGOSTI 13 mpaka 15 ya mwaka huu, kutakuwa na kongamano kubwa litakalowakutanisha Watanzania waish
Mwandishi Wetu
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
UNIC yaelimisha siku ya choo kwa vijana walio nje ya shule
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ImhZSIXCWg8/Vin8E_D-I5I/AAAAAAAIB5E/yn6ba38lpx8/s72-c/pix%2B3.jpg)
ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE
![](http://3.bp.blogspot.com/-ImhZSIXCWg8/Vin8E_D-I5I/AAAAAAAIB5E/yn6ba38lpx8/s640/pix%2B3.jpg)
Na: Genofeva Matemu - MaelezoILIGUNDULIKA kuwa ulimwenguni kote na hususan nchini Tanzania, Vijana walio nje ya shule ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa yanayoenea kwa njia ya ngono, VVU na UKIMWI kwa kutokuwa na taarifa na...