Serikali yaandaa Sera mpya ya bima
Serikali inaandaa sera mpya ya Bima itakayosimamia haki ya matibabu kwa abiria wanaopata ajali za barabarani wakati wanaposafiri na vyombo vya usafiri katika maeneo mbalimbali nchini.
Serikali imeanzisha pia Mahakama ya Bima itakayosimamia usuluhishi wa malalamiko ya malipo ya bima kutoka kwa abiria wasioridhishwa na malipo yanayofanywa na baadhi ya kampuni za bima pindi wanapopata ajali.
Maandalizi ya Sera hiyo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania, TIRA,...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
SMZ yaandaa sera ya diaspora kuvutia walio nje
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema tayari imeweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia Wazanzibari waliopo nje ya nchi kuwekeza Zanzibar na kusaidia katika miradi mbalimbali. Hayo yalisemwa na Mshauri wa Rais anayeshughulikia vitega uchumi na uwekezaji Balozi Mohamed Ramia wakati akifungua mkutano uliowashirikisha Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi.
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Serikali yaandaa mkakati kukomesha migogoro ya ardhi
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukuzaji wa Viumbe Majini, Kajitanus Osewe, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo na Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Judith Mhina.
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo (wapili kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, ipo mbioni kuandaa waraka wa matumizi endelevu ya ardhi utakaowezesha kupata suluhu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6RZjZhMK4pg/VABz0TBR-RI/AAAAAAACpME/6JpRMEcV62c/s72-c/Mayingu%2Bspeech2.jpg)
PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-6RZjZhMK4pg/VABz0TBR-RI/AAAAAAACpME/6JpRMEcV62c/s1600/Mayingu%2Bspeech2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMTvnhucRys/VABz5gnYmPI/AAAAAAACpMs/VoddFfvTRHE/s1600/constatina%2Bmartin%2Bnote.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZF4l58kRCvc/VAB0DYUT9II/AAAAAAACpM8/WcvFtpJ4VcM/s1600/cross%2Bsection.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Serikali yaandaa sheria kuwalinda watoa taarifa vitendo vya uhalifu-AG Masaju
![Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0271.jpg)
Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
![Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_0280.jpg)
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania (UNICEF), Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya...
10 years ago
Vijimambo14 Feb
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.
Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Kilango atetea Sera mpya ya Elimu
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango Malecela amesema hashangazwi na baadhi ya watu wanatoa manung’uniko juu ya Sera mpya ya Elimu, iliyozinduliwa hivi karibuni, kwani imekuwa ni kawaida kwa jambo jema, linalofanywa na serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulalamikiwa.
10 years ago
Michuzi14 Feb
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio
Na Markus Mpangala
TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10