Serikali yaandaa mkakati kukomesha migogoro ya ardhi
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukuzaji wa Viumbe Majini, Kajitanus Osewe, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo na Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Judith Mhina.
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo (wapili kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, ipo mbioni kuandaa waraka wa matumizi endelevu ya ardhi utakaowezesha kupata suluhu...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Dec
‘Serikali ijizatiti kukomesha migogoro wakulima, wafugaji’
MBUNGE wa Viti Maalumu, Gimbi Masaba (Chadema) ameiomba serikali kujizatiti kukomesha migogoro ya mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekuwa ikigharimu maisha ya watu na mifugo.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Serikali yashambuliwa kukithiri migogoro ya ardhi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Moza Abeid (CUF), ameishambulia serikali na kueleza kuwa migogoro mingi ya ardhi ambayo inaonekana kupamba moto nchini inachangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali. Moza alisema kuwa...
10 years ago
Habarileo08 Mar
Kinana aibana serikali vifo migogoro ya ardhi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaka viongozi wote wa serikali waliozembea na kusababisha kuendelea kutokea kwa mauji baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kuwajibika haraka.
10 years ago
Mwananchi20 Feb
MAONI: Nini kinaikwaza Serikali kutatua migogoro ya ardhi?
9 years ago
StarTV24 Dec
Kuondoa Migogoro Ya Ardhi TPCF yaitaka Serikali kuanzisha sera ya wafugaji
Mtandao unaoshughulika na utetezi wa haki za wafugaji hapa nchini umeitaka serikali kuwezesha upatikanaji wa sera ya ufugaji wa asili pamoja na kupima ardhi ya wafugaji ili kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima.
Aidha mtandao huo umeikumbusha serikali kuwa kutokutekeleza wajibu na kupelekea haki za binadamu kukiukwa ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.
Akizungumza jijini Arusha katika ofisi za mtandao wa wafugaji Mkurugenzi wa mtandao huo...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
UVCCM yaandaa mkakati kujiimarisha
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kibaha Mjini, kwa kushirikiana na makatibu 11 wa kata zote wilayani hapa, wameandaa mpango mkakati wa kuimarisha uhai wa jumuiya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Tacaids yaandaa mkakati kutokomeza VVU
TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeandaa mkakati wa kitaifa na kimataifa kutokomeza maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Kilindi yaagizwa kukomesha migogoro
Na Amina Omari, Kilindi
SERIKALI mkoani Tanga imeliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na viongozi wa ngazi ya wilaya, kuhakikisha wanakomesha migogoro baina ya wakulima na wafugaji ambayo imechangia kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Magalula Said Magalua wakati wa hafla ya kumsimika kiongozi mkuu wa wafugaji, Lweigwanani iliyofanyika katika Kijiji cha Elerai kilichopo Kata ya Kibrashi wilayani humo.
Alisema endapo viongozi hao...
5 years ago
CCM BlogOFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI