Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Nini kinaikwaza Serikali kutatua migogoro ya ardhi?

>Hii siyo mara ya kwanza kwetu sisi kuihadharisha Serikali kuhusu kukithiri kwa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika maeneo mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mkoani Iringa. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Iringa uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi. Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkoa wa Iringa wakimsikiliza Waziri Lukuvi aliposikiliza kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo Manispaa ya Iringa.


...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma (katikati) walipotembelea kutatua mgogoro uliohusu wananchi na hifadhi hiyo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakiwa katika boti katika mto wami juzi walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa mpaka katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Waziri Lukuvi Mwanza kutatua migogoro ya ardhi

11

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili kupata namna bora ambayo mhimili wa mahakama unaweza kusaidia kutatua migogoro ya ardhi nchini. Waziri Lukuvi yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza yenye nia ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.

New Picture (1)

Mh. Waziri William Lukuvi akizungumza na watendaji wa ardhi na Mipango Miji pamoja na Kamati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tawla kutumia wanasheria 400 kutatua migogoro ya ardhi vijijini

>Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa inayoikabili nchi kwa sasa.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na wale wa sekta ya ardhi na Sekretarieti ya Mkoa wa Iringa ambapo alisisitiza Shirika la Nyumba nchini kuhakikisha kuwa linaboresha mazingira ya Manispaa ya Iringa kwa kuhakikisha kuwa linajenga nyumba bora, pia aliagiza Shirika hilo kufanya utafiti ili liweze kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi ili...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI MTWARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Mtwara uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akionyeshwa na Maafisa waandamizi wa sekta ya ardhi kanda ya Kusini taarifa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar waridhishwa na utendaji wa Waziri Lukuvi katika kutatua migogoro ya ardhi

1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliotaka kujua jinsi alivyoshughulikia migogoro ya Ardhi nchini.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na wananchi wa Dar es salaam wenye Migogoro ya Ardhi na kufanikiwa kupokea Malalamiko yao Katika mkutano wa siku mbili wa tarehe 22 na 23, Septemba, 2015 katika Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi. Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI wa Ardhi William LUKUVI AFANYA ZIARA mkoani IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDH

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi ameanza ziara ya siku tatu Mkoani Iringa ambapo aliongea na watendaji wa Mkoa wa Iringa kuhusiana na migogoro ya ardhi inayoukumba Mkoa huo . Aidha, Waziri Lukuvi alipata fursa ya kukagua shughuli za Shirika la Nyumba la Taifa na kusikiliza migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi wa Manispaa ya Iringa na wilaya za jirani za Kilolo na Mufindi.  Katika ziara hiyo, Waziri Lukuvi amerejea kauli yake aliyoitoa katika...

 

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA DAR ES SALAAM WARIDHISHWA NA UTENDAJI WA WAZIRI LUKUVI KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na wananchi wa Dar es salaam wenye Migogoro ya Ardhi na  kupokea Malalamiko yao Katika mkutano wa siku mbili wa tarehe 22 na 23, Septemba, 2015 katika Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi. 
Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo walisifu jitihada za Waziri Lukuvi katika kushughulikia Migogoro ya Ardhi ambapo tarehe 22 Septemba 2015 alipokea Malalamiko ya Wananchi kwa Manispaa ya Kinondoni na tarehe 23 Septemba 2015...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani