WAZIRI wa Ardhi William LUKUVI AFANYA ZIARA mkoani IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDH
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Vangimembe Lukuvi ameanza ziara ya siku tatu Mkoani Iringa ambapo aliongea na watendaji wa Mkoa wa Iringa kuhusiana na migogoro ya ardhi inayoukumba Mkoa huo . Aidha, Waziri Lukuvi alipata fursa ya kukagua shughuli za Shirika la Nyumba la Taifa na kusikiliza migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi wa Manispaa ya Iringa na wilaya za jirani za Kilolo na Mufindi. Katika ziara hiyo, Waziri Lukuvi amerejea kauli yake aliyoitoa katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
10 years ago
GPLWAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-82.png)
WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI MTWARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Ziara ya Waziri Lukuvi Mwanza kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili kupata namna bora ambayo mhimili wa mahakama unaweza kusaidia kutatua migogoro ya ardhi nchini. Waziri Lukuvi yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza yenye nia ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.
Mh. Waziri William Lukuvi akizungumza na watendaji wa ardhi na Mipango Miji pamoja na Kamati ya...
10 years ago
Michuzi18 Jun
WAZIRI WILLIAM LUKUVI ATATUA MIGOGORO MIKUBWA YA ARDHI MKOANI LINDI
Katika ziara hiyo, Waziri Lukuvi amewaonya na kuwaagiza Maafisa ardhi, wapima na maafisa mipango miji kuacha mara moja kujinufaisha kwa kuwadhulumu wananchi haki zao za ardhi.
Aidha ameutaka Mkoa wa Lindi kuharakisha upimaji wa...
10 years ago
Michuzi21 Mar
ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI BABATI MKOANI MANYARA
![1a](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/1a.jpg)
![2a](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/2a.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fBjXsjODywM/VQrHrnN8gQI/AAAAAAADRKE/4pIG2gRMBgQ/s72-c/unnamed.png)
WAZIRI WA ARDHI ,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fBjXsjODywM/VQrHrnN8gQI/AAAAAAADRKE/4pIG2gRMBgQ/s1600/unnamed.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FknvlfwMauc/VQrHrUjbg5I/AAAAAAADRKA/mPJoyIY4-5w/s1600/U.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zfcAPa9OGtE/VQrHpK9RRDI/AAAAAAADRJo/8ouPyOvzWLI/s1600/P9.png)
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Wakazi wa Dar waridhishwa na utendaji wa Waziri Lukuvi katika kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliotaka kujua jinsi alivyoshughulikia migogoro ya Ardhi nchini.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na wananchi wa Dar es salaam wenye Migogoro ya Ardhi na kufanikiwa kupokea Malalamiko yao Katika mkutano wa siku mbili wa tarehe 22 na 23, Septemba, 2015 katika Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi. Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo...
9 years ago
MichuziWAKAZI WA DAR ES SALAAM WARIDHISHWA NA UTENDAJI WA WAZIRI LUKUVI KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo walisifu jitihada za Waziri Lukuvi katika kushughulikia Migogoro ya Ardhi ambapo tarehe 22 Septemba 2015 alipokea Malalamiko ya Wananchi kwa Manispaa ya Kinondoni na tarehe 23 Septemba 2015...