Tawla kutumia wanasheria 400 kutatua migogoro ya ardhi vijijini
>Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa inayoikabili nchi kwa sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
...
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
10 years ago
Mwananchi20 Feb
MAONI: Nini kinaikwaza Serikali kutatua migogoro ya ardhi?
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Ziara ya Waziri Lukuvi Mwanza kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mh. Jaji Mfawidhi Makalamba alipokutana naye ofisini kwa Jaji huyo Jijini Mwanza ili kupata namna bora ambayo mhimili wa mahakama unaweza kusaidia kutatua migogoro ya ardhi nchini. Waziri Lukuvi yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza yenye nia ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.
Mh. Waziri William Lukuvi akizungumza na watendaji wa ardhi na Mipango Miji pamoja na Kamati ya...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-82.png)
WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA MKOANI MTWARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
10 years ago
GPLWAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
9 years ago
Dewji Blog26 Sep
Wakazi wa Dar waridhishwa na utendaji wa Waziri Lukuvi katika kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliotaka kujua jinsi alivyoshughulikia migogoro ya Ardhi nchini.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na wananchi wa Dar es salaam wenye Migogoro ya Ardhi na kufanikiwa kupokea Malalamiko yao Katika mkutano wa siku mbili wa tarehe 22 na 23, Septemba, 2015 katika Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi. Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo...
10 years ago
MichuziWAZIRI wa Ardhi William LUKUVI AFANYA ZIARA mkoani IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDH
9 years ago
MichuziWAKAZI WA DAR ES SALAAM WARIDHISHWA NA UTENDAJI WA WAZIRI LUKUVI KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo walisifu jitihada za Waziri Lukuvi katika kushughulikia Migogoro ya Ardhi ambapo tarehe 22 Septemba 2015 alipokea Malalamiko ya Wananchi kwa Manispaa ya Kinondoni na tarehe 23 Septemba 2015...