Kilindi yaagizwa kukomesha migogoro
Na Amina Omari, Kilindi
SERIKALI mkoani Tanga imeliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na viongozi wa ngazi ya wilaya, kuhakikisha wanakomesha migogoro baina ya wakulima na wafugaji ambayo imechangia kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Magalula Said Magalua wakati wa hafla ya kumsimika kiongozi mkuu wa wafugaji, Lweigwanani iliyofanyika katika Kijiji cha Elerai kilichopo Kata ya Kibrashi wilayani humo.
Alisema endapo viongozi hao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Serikali yaandaa mkakati kukomesha migogoro ya ardhi
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukuzaji wa Viumbe Majini, Kajitanus Osewe, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo na Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Judith Mhina.
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo (wapili kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, ipo mbioni kuandaa waraka wa matumizi endelevu ya ardhi utakaowezesha kupata suluhu...
9 years ago
Habarileo24 Dec
‘Serikali ijizatiti kukomesha migogoro wakulima, wafugaji’
MBUNGE wa Viti Maalumu, Gimbi Masaba (Chadema) ameiomba serikali kujizatiti kukomesha migogoro ya mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekuwa ikigharimu maisha ya watu na mifugo.
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Viwavijeshi wavamia mashamba Kilindi
WADUDU waharibifu wa mazao aina ya Viwavijeshi vimevamia mashamba ya wakulima wa vijiji mbalimbali vilivyopo Kata nane za wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga na kuharibu mahindi. Wakizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Simu yawa mkombozi wa wajawazito Kilindi
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Kilindi kurejesha ardhi kwa wananchi
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, imekusudia kuirejesha katika serikali za vijiji ardhi iliyochukuliwa kinyume na sheria, ili iweze kugawiwa kwa wananchi wasio na maeneo. Pia halmashauri hiyo...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Utapiamlo; tatizo sugu linalotesa wengi Kilindi
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Viongozi Kilindi mbaroni wakidaiwa kushawishi mapigano
MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Kibirashi, wilayani Kilindi, Yussuph Mwegango na viongozi wenzake wanne wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na tarafa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushawishi...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-DmjdalBPQJE/VilJbTJg9KI/AAAAAAAAbtY/8PM73n48y-k/s72-c/0D6A4307.jpg)
LOWASSA KATIKA KAMPENI HANDENI NA KILINDI MKOANI TANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DmjdalBPQJE/VilJbTJg9KI/AAAAAAAAbtY/8PM73n48y-k/s640/0D6A4307.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vsz_27utT2c/VilJwTpTZDI/AAAAAAAAbto/vDAO99XP-iw/s640/0D6A4512.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QLy7LpYs7JA/VilKYe7W6ZI/AAAAAAAAbtw/tzMWlVKJRYM/s640/0D6A4223.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-spLjDbC7NSg/VCK7kqhTyxI/AAAAAAAARLc/aWzl_mkM-9s/s72-c/1.jpg)
ZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA
![](http://1.bp.blogspot.com/-spLjDbC7NSg/VCK7kqhTyxI/AAAAAAAARLc/aWzl_mkM-9s/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IV2qKhhqwIw/VCK-CoidquI/AAAAAAAARMI/grZlN1AbzL0/s1600/2.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.
![](http://4.bp.blogspot.com/-zS5-sCE-plI/VCK-j8wqSlI/AAAAAAAARMY/R6_tVjsOBXY/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eJSFURIiPa8/VCK-0Zfy4yI/AAAAAAAARMg/i8BQ7WP6A4M/s1600/4.jpg)
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kutandaza mawe kwenye msingi wa kituo cha afya Kwediboma.
![](http://1.bp.blogspot.com/-qedmuAHCSFQ/VCK_m-P_AmI/AAAAAAAARMw/FfhDcoln_tM/s1600/5.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...