Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viwavijeshi wavamia mashamba Kilindi

WADUDU waharibifu wa mazao aina ya Viwavijeshi vimevamia mashamba ya wakulima wa vijiji mbalimbali vilivyopo Kata nane za wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga na kuharibu mahindi. Wakizungumza na Tanzania Daima...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Viwavijeshi kushambulia Kanda za Mashariki, Kaskazini

WAKULIMA wametakiwa kuchukua hadhari mapema, kutokana na kutabiriwa kuwepo kwa milipuko ya viwavijeshi vinavyoathiri mazao. Taarifa za utabiri za mwenendo wa milipuko ya viwavijeshi katika msimu wa kilimo 2013/2014, zinaashiria kuwepo kwa milipuko mikubwa hasa katika Kanda ya Mashariki na Kaskazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yatoa mitego kudhibiti viwavijeshi

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa mitego 120 itakayosambazwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kusaidia kufuatilia mwenendo wa milipuko ya viwavijeshi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

KITUO CHA UTAFITI WA KILIMO-SAT WATOA MBINU YA KUKABILIANA NA VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA MIMEA

Mwandishi Mussa Juma akiwa ameshika jani na kunusa harufu yake, Jani hilo nalo hutumika kuua wadudu wanaoharibu mimea ya mazao shambani

Meneja wa Kituo cha Utafiti wa kilimo ambacho kinamilikiwa na Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Frank Marwa akielezea hatua nne za ukuaji wa viwavijeshi ambaye ni moja ya wadudu waharibifu wa mazao shambani.
Frank Marwa ambaye ni Meneja wa Kituo cha utafiti wa kilimo akiwa ameshika jani la mpapai ambalo nalo hutumika kuua wadudu wa haribifu wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kilindi yaagizwa kukomesha migogoro

RC GeitaNa Amina Omari, Kilindi

SERIKALI mkoani Tanga imeliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na viongozi wa ngazi ya wilaya, kuhakikisha wanakomesha migogoro baina ya wakulima na wafugaji ambayo imechangia kuwepo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Magalula Said Magalua wakati wa hafla ya kumsimika kiongozi mkuu wa wafugaji, Lweigwanani iliyofanyika katika Kijiji cha Elerai kilichopo Kata ya Kibrashi wilayani humo.

Alisema endapo viongozi hao...

 

11 years ago

Mwananchi

Simu yawa mkombozi wa wajawazito Kilindi

>Wengi kati yetu wanaifahamu simu kwa matumizi yao ya mawasiliano ambayo huitumia kuzungumza kirafiki au kutumiana ujumbe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilindi kurejesha ardhi kwa wananchi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, imekusudia kuirejesha katika serikali za vijiji ardhi iliyochukuliwa kinyume na sheria, ili iweze kugawiwa  kwa wananchi wasio na maeneo. Pia halmashauri hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi Kilindi mbaroni wakidaiwa kushawishi mapigano

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Kibirashi, wilayani Kilindi, Yussuph Mwegango na viongozi wenzake wanne wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na tarafa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushawishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Utapiamlo; tatizo sugu linalotesa wengi Kilindi

Kwenye duka mojawapo lililopo katika eneo la Mgera wilayani Kilindi mkoani Tanga, nakutana na mama mwenye mawazo mengi, mkononi amewapakata watoto wawili ambao wanalia muda wote.

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kwediboma wakati wa kushiriki kujenga msingi wa kituo cha afya cha Kwediboma.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kutandaza mawe kwenye msingi wa kituo cha afya Kwediboma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani