Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viwavijeshi kushambulia Kanda za Mashariki, Kaskazini

WAKULIMA wametakiwa kuchukua hadhari mapema, kutokana na kutabiriwa kuwepo kwa milipuko ya viwavijeshi vinavyoathiri mazao. Taarifa za utabiri za mwenendo wa milipuko ya viwavijeshi katika msimu wa kilimo 2013/2014, zinaashiria kuwepo kwa milipuko mikubwa hasa katika Kanda ya Mashariki na Kaskazini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHADEMA YATANGAZA WAGOMBEA WA UDIWANI KANDA YA KASKAZINI

TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI – KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo ya kata mbalimbali za kanda ya Kaskazini. Wagombea hawa walipita katika mchujo wa uteuzi wa chama. Chama kina matarajio makubwa sana kuwa wananchi wa maeneo haya ya kata hizi watapata fursa nzuri ya kuwachagua wagombea wa CHADEMA...

 

11 years ago

Michuzi

PSI yafanya mkutano na wasambazaji wa kanda ya kaskazini

Shirika lisilo la kiserikali linalo fanya kazi chini ya wizara ya afya PSI/Tanzania kanda ya kaskazini ambalo ni wasambazaji wa salama kondom na bidhaa nyingine za afya zikiwezo zile za uzazi wa mpango za familia pamoja watergurad, mwishoni mwa wiki limefanya mkutano na mawakala wateule wa kanda ya kaskazini inayohusisha mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha an Manyara uliofanyika katika hoteli ya Silver Palm iliyoko hapa jijini Arusha ukiwa na lengo la kujadili mafanikio, changamoto na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Raisa ndie Redds Miss kanda ya Kaskazini

Hawa ndio washindi wa Redd’s Miss kanda ya Kaskazini kwa mwaka 2014.

Hawa ni wadhimini wa shindano hilo kutoka Minjingu.

LEMUTUZ nae alikuwemo ndani ya Redd’s Miss Kanda ya Kaskazini  bila kumsahau mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto.

Mkuu wa mkoa wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Manyara waliuthuria katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini ambapo katika shindano hilo warembo wanne wa mwanzo wataingia katika kambi ya Redd’s miss Tanzania.

  Hashim Lundenga...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la wanahabari kanda ya kaskazini kufanyika june 28

Bonanza  la waandishi wa habari na watangazaji Kanda ya Kaskazini linatarajiwa kufanyika june 28 katika viwanja vya General tyre  jijini Arusha na kushirikisha zaidi na wanahabari 150 na wadau wa habari.
Akizungumza na waandishi wa habari jana  , Katibu wa chama cha waandishi wa habari za michezo na burudani mkoa wa Arusha,(TASWA- Arusha) Mussa Juma, alisema maandalizi muhimu ya Bonanza yameanza.
Juma alisema bonanza hilo,ambalo huandaliwa na TASWA Arusha na kampuni ya MS UniquePromotion...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla atembelea miradi ya maji Kanda ya kaskazini

Naibu waziri maji Mhe. Amos makalla akipata maelezo ya ujenzi wa tanki la maji mradi wa Boro-Masoka kutoka kwa mhandisi maji Moshi injinia Brown Lyimo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji kanda ya Kaskazini. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Novatus MakungaNaibu  Waziri wa maji  Mhe. Amos Makalla akiangalia ramani ya mradi wa maji Boro - MasokaNaibu Waziri wa  maji   Mhe. Amos makala akikagua chanzo cha maji cha Mananga cha mto Ghona, HimoNaibu Waziri wa maji Me. Amos Makalla...

 

10 years ago

Michuzi

KANDA YA KASKAZINI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Wanaharakati kutoka shirika la Kwieco la mkoani Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya maadhimisho ya siku 16 za kupingaukatili wa kijinsia.Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi.Mkurugenzui wa shirika la KWIECO ,Elizabeth Minde (mwenye miwani myeusi) akiwa katika maandamano hayo.Brass Band ya Chuo cha Polisi ikiongoza maandamano ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kanda ya kaskazini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kanda ya Kaskazini wazindua siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako pichani ) juu ya uzinduzi huo,kushoto kwake ni Afisa Ushawishi na utetezi (KWIECO) na Mratibu wa maadhimisho hayo kanda,Hilary Tesha. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini. Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali tete kaskazini Mashariki-Nigeria .

Maofisa wa serikali nchini Nigeria wamesema wameshindwa kukadiria kiwango cha vurugu eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

AJTC BINGWA WA BONANZA LA TISA LA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA KASKAZINI

Mwenyekiti wa Taswa Taifa Juma  Pinto akiwa akiwa anakagua timu ya mpira wa pete kutoka AJTC kabla ya mechi ya fainaili kuchezwa katika Uwanja wa Kumbukumbun ya Sheikh Amri Abeid, Arusha
washabiki wa timu ya AJTC wakiwa wanashangilia mara baada yakukabidhiwa kombe katika bonanza la Taswa.
Kwa picha zaidi na Woinde Shizza BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani