Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERA MPYA YA ELIMU NA MAFUNZO TANZANIA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tamu na chungu ya sera mpya ya elimu na mafunzo ya 2014

Serikali imezindua rasmi sera mpya ya elimu na mafunzo, ambayo ama kweli inakusudia kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa elimu nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Sera mpya ya elimu yazua maoni Tanzania

Sera mpya ya elimu nchini Tanzania iliyozinduliwa inazidi kuzua maoni mchanganyiko

 

10 years ago

Vijimambo

JK ALIVYOZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari 13, 2015. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck SadikRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mratibu wa Elimu Kigamboni; Sera mpya ya elimu yahitaji maandalizi kwanza

DSC_0103

Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Angelina Ngasazwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi madawati 50 na majengo mawili yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO katika shule ya msingi Kibugumo iliyopo Kigamboni jijini Dar hivi karibuni.

Na modewji blog team

Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014, iliyozinduliwa na Rais Dk. Jakaya Kikwete, Februari 13 mwaka huu, wadau mbalimbali wameanza kuonyesha wasiwasi wao juu...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Idara ya...

 

10 years ago

Habarileo

Kilango atetea Sera mpya ya Elimu

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne Kilango Malecela amesema hashangazwi na baadhi ya watu wanatoa manung’uniko juu ya Sera mpya ya Elimu, iliyozinduliwa hivi karibuni, kwani imekuwa ni kawaida kwa jambo jema, linalofanywa na serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kulalamikiwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Sera ya elimu ni mwelekeo mpya wa mafanikio

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru KawambwaNa Markus Mpangala

TANGU kutangazwa kwa mpango mpya wa elimu kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na suala hilo. Baadhi walikuwa wakishangazwa na mpango huo lakini wakakosa hoja za msingi kukosoa zaidi ya malalamiko ya kawaida na yaliyozoeleka.
Wakosoaji hawajatoa njia mbadala wala hawataki kuona mambo mazuri yaliyobuniwa. Binafsi ninadhani ni sahihi kubadili muundo wa elimu ambao kwa namna moja ama nyingine unatusaidia kuendelea kutumia nguvu za ujana kwa kutafuta maarifa zaidi kuliko...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbatia aonyesha wasiwasi juu ya sera mpya ya elimu

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia (katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa tamko hilo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene Nyambabe.

2

Mwenyekiti  wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani