Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALIVYOZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari 13, 2015. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck SadikRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Tamu na chungu ya sera mpya ya elimu na mafunzo ya 2014

Serikali imezindua rasmi sera mpya ya elimu na mafunzo, ambayo ama kweli inakusudia kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa elimu nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Idara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mratibu wa Elimu Kigamboni; Sera mpya ya elimu yahitaji maandalizi kwanza

DSC_0103

Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Angelina Ngasazwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi madawati 50 na majengo mawili yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO katika shule ya msingi Kibugumo iliyopo Kigamboni jijini Dar hivi karibuni.

Na modewji blog team

Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014, iliyozinduliwa na Rais Dk. Jakaya Kikwete, Februari 13 mwaka huu, wadau mbalimbali wameanza kuonyesha wasiwasi wao juu...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AWATUNUKU VYETI WADAU WA ELIMU

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama akiongea na Global TV Online leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar wakati wa kutunuku vyeti wadau wa elimu. Wanahabari wakimhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Rosemary Lulabuka baada ya zoezi la kutunuku vyeti wadau wa elimu leo kwenye Hoteli ya…

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mafunzo yatasaidia utekelezaji wa sera

SERIKALI imesema mafunzo kuhusu kiongozi cha Mwalimu Mkuu yatasaidia kutekeleza sera ya kitaifa na kimataifa ya kukuza uchumi na kupunguza umasikini.


Akifungua mafunzo kwa walimu wakuu na waratibu elimu kata katika Wakala wa Maendeleo ya Elimu (Adem), Bagamoyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome, alisema malengo hayo yanaweza kufikiwa kupitia usimamizi wa elimu...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani