Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafunzo yatasaidia utekelezaji wa sera

SERIKALI imesema mafunzo kuhusu kiongozi cha Mwalimu Mkuu yatasaidia kutekeleza sera ya kitaifa na kimataifa ya kukuza uchumi na kupunguza umasikini.


Akifungua mafunzo kwa walimu wakuu na waratibu elimu kata katika Wakala wa Maendeleo ya Elimu (Adem), Bagamoyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome, alisema malengo hayo yanaweza kufikiwa kupitia usimamizi wa elimu...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sera ya Elimu safi, sasa utekelezaji

Rais Jakaya Kikwete juzi alizindua rasmi Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 ambayo inatarajiwa kuwa dira ya maendeleo ya elimu kwa kipindi cha miaka kadhaa ijayo.

 

11 years ago

Michuzi

TAKWIMU RASMI NA ENDELEVU NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA SERA ZA MAENDELEO -UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum  Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa 45 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa, wamepewa changamoto ya kuhakikisha kwamba, Takwimu rasmi na sahihi zinaunga mkono pamoja na mambo mengine, utekelezaji na usimamizi wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu ( SDGs) baada ya 2015.  Changamoto hiyo imetolewa siku ya Jumanne na Katibu Mkuu Msaidizi Bw. WU HONGBO anayeongoza Baraza la Umoja wa Mataifa linalosimamia masuala ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii ( ECOSOC)....

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE LAFANYIKA DAR ES SALAAM

 Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014. Mwakilishi wa Mgeni Mualikwa Balozi Joseph Sokoine akizungumza na Vijana waliohudhuria Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera...

 

10 years ago

Vijimambo

JK ALIVYOZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari 13, 2015. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck SadikRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa elimu na ufundi Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Tamu na chungu ya sera mpya ya elimu na mafunzo ya 2014

Serikali imezindua rasmi sera mpya ya elimu na mafunzo, ambayo ama kweli inakusudia kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo wa elimu nchini.

 

9 years ago

Michuzi

VETA YAKUTANA NA WADAU WA UMEME,VIWANDA NA MAGARI KUJADILI UTEKELEZAJI WA MAFUNZO



Washiriki wa warsha hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi ambaye ni mshauri wa mradi huo Bw. Ahmed Athumani.Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Soko la Ajira ,Mipango na Maendeleo wa VETA, Ahmed Athuman akizungumza katika warsha ya wadau wadau wa viwanda,umeme na magari kujadili utekelezaji wa mradi wa mafunzo yanayotolewa kwa ushirikiano kati VETA na wadau hao iliyofanyika katika ukumbi wa Giraffee Hoteli jijini Dar es Salaam.Sehemu ya wadau wakifatilia maada mbalimbali...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Idara ya...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria,Zanzibar leo

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua mafunzo kwa vyombo vya utekelezaji wa sheria, hoteli ya Zanzibar Ocean View, Kilimani Zanzibar. Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Aboubakar Khamis Bakar, akizungumza katika mafunzo hayo. Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani