Sera ya Elimu safi, sasa utekelezaji
Rais Jakaya Kikwete juzi alizindua rasmi Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 ambayo inatarajiwa kuwa dira ya maendeleo ya elimu kwa kipindi cha miaka kadhaa ijayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo19 Sep
SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA
![](https://fbcdn-photos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpl1/v/t1.0-0/s526x395/12038345_611681675636375_2700435521837011316_n.jpg?oh=551b0a75a88c1b11dd091f93a19e82c8&oe=56A1A2B5&__gda__=1449801116_86d06f5e820c2afd18d8c1a6f4c9bc6c)
HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Mafunzo yatasaidia utekelezaji wa sera
SERIKALI imesema mafunzo kuhusu kiongozi cha Mwalimu Mkuu yatasaidia kutekeleza sera ya kitaifa na kimataifa ya kukuza uchumi na kupunguza umasikini.
Akifungua mafunzo kwa walimu wakuu na waratibu elimu kata katika Wakala wa Maendeleo ya Elimu (Adem), Bagamoyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwa niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome, alisema malengo hayo yanaweza kufikiwa kupitia usimamizi wa elimu...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Mratibu wa Elimu Kigamboni; Sera mpya ya elimu yahitaji maandalizi kwanza
Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Angelina Ngasazwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi madawati 50 na majengo mawili yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO katika shule ya msingi Kibugumo iliyopo Kigamboni jijini Dar hivi karibuni.
Na modewji blog team
Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014, iliyozinduliwa na Rais Dk. Jakaya Kikwete, Februari 13 mwaka huu, wadau mbalimbali wameanza kuonyesha wasiwasi wao juu...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SyvsjPhvFW0/U7gHHCHvgfI/AAAAAAAAPOs/TduACNfGZ7E/s72-c/5.jpg)
KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE LAFANYIKA DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-SyvsjPhvFW0/U7gHHCHvgfI/AAAAAAAAPOs/TduACNfGZ7E/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bO7HwGUQ5to/U7gHS5-WZdI/AAAAAAAAPO0/kYva9vBIyFM/s1600/12.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CJGNaD1-rNg/Uxaqn9L6ZDI/AAAAAAAFRJU/X3yevlEsxZ8/s72-c/unnamed+(10).jpg)
TAKWIMU RASMI NA ENDELEVU NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA SERA ZA MAENDELEO -UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Vijimambo08 Feb
NDIYO HABARI YA MJINI SASA KIROHO SAFI
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/OMMY_DIMPOZ.jpg)
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/thumbnails/WEMA_SEPETU65.jpg)
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
Vijimambo14 Feb
10 years ago
VijimamboJK ALIVYOZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Utekelezaji maazimio ya Bunge uanze sasa