SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA
HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Fedha za sherehe zilizofutwa kutumika kutekeleza sera ya Elimu bure
Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi kulingana na bajeti ilivyopangwa ambapo fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw....
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mbatia aonyesha wasiwasi juu ya sera mpya ya elimu
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia (katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa tamko hilo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene Nyambabe.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Sera ya Elimu safi, sasa utekelezaji
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Sera ya Taifa ya elimu ya juu ya Tanzania: uzuri na ubaya wake
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Sera ya Taifa ya elimu ya juu ya Tanzania; uzuri na ubaya wake- 2
9 years ago
Vijimambo15 Sep
Ukweli elimu bure ya Lowassa huu hapa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Edo-15Sept2015.png)
Lowassa katika uzinduzi wake wa kampeni alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano-hali iliyozua ubishi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi.
Baadhi ya vigogo wa CCM wanadai ni ndoto kutoa elimu bure kwa kuzingatia hali...
9 years ago
StarTV09 Oct
Lowassa asema hana shaka na elimu ya bure mpaka chuo kikuu.
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,anayewakilisha pia vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowasa, amesema hana shaka juu ya mpango wake wa kutoa elimu ya bure kuanzia gazi ya awali hadi chuo kikuu, kwakuwa rasilimali zilizopo nchini ninajitosheleza kuwahudumia wananchi.
Lowasa amewekea mkazo mpango wake huo katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Sinoni Mkoani Arusha, ambapo amesema ikiwa atachaguliwa kuwa...
5 years ago
MichuziZanzibar kuendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha Wagonjwa nje ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed huko Hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja katika Wodi ya Wagonjwa wa Ngozi .
Alisema Serikali haijashindwa kuwahudumia wananchi wake hivyo si vyema kuisambaza picha ya Mgonjwa katika mitandao ya kijamii kwa nia ya kutafuta michango ya wafadhili...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
“Hapa Kazi tu’ Sasa Elimu bure kuanza Januari 2016, Mikopo vyuo vikuu kimeeleweka, safari za nje za vigogo stop
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa...