Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukweli elimu bure ya Lowassa huu hapa.

Ahadi aliyoitoa mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), ya kutoa elimu ya Chuo Kikuu bure inaweza kugharimu Taifa kiasi cha Sh. trilioni 1.35($675millioni) kwa mwaka, Nipashe limebaini.

Lowassa katika uzinduzi wake wa kampeni alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano-hali iliyozua ubishi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi.

Baadhi ya vigogo wa CCM wanadai ni ndoto kutoa elimu bure kwa kuzingatia hali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!

Hatimaye imekuwa dhahili  kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa  kama Wanjera  walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa  siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.

Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera  itaruka hewani  kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.

Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.

Mzee wa...

 

10 years ago

GPL

UKWELI WA ‘FUMANIZI’ LA PATCHO MWAMBA HUU HAPA

Mwanamuziki Patcho Mwamba akiteta na GPL. KUTOKANA na kuwepo kwa minong’ono juu ya mwanamuziki mwenye asili ya Kongo, Patcho Mwamba kudaiwa  kufumaniwa na mke wa mtu na kisha kudundwa na kutoka  manundu, GPL limefanya  mahojiano na msanii huyo na kupata ukweli kuhusu ‘fumanizi’ hilo. Kwa kuufahamu ukweli huo tembelea www.globatvtz.com (Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL) ...

 

10 years ago

GPL

KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

Na waandishi Wetu NIkweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N6u2sS...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kufuatia taarifa za uvumi wa kifo cha Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa, ukweli uko hapa!

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Taarifa hii imetoka kwenye akaunti ya facebook ya Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na inasomeka kama ifuatavyo….Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na Usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa Mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na Umauti akiwa njiani anaelekea...

 

9 years ago

Vijimambo

SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA


HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...

 

9 years ago

StarTV

Lowassa asema hana shaka na elimu ya bure mpaka chuo kikuu.

Mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,anayewakilisha pia vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowasa, amesema hana shaka juu ya mpango wake wa kutoa elimu ya bure kuanzia gazi ya awali hadi chuo kikuu, kwakuwa rasilimali zilizopo nchini ninajitosheleza kuwahudumia wananchi.

Lowasa amewekea mkazo mpango wake huo katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Sinoni Mkoani Arusha, ambapo amesema ikiwa atachaguliwa kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

“Hapa Kazi tu’ Sasa Elimu bure kuanza Januari 2016, Mikopo vyuo vikuu kimeeleweka, safari za nje za vigogo stop

k1

  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

k11

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani