UKWELI WA ‘FUMANIZI’ LA PATCHO MWAMBA HUU HAPA
Mwanamuziki Patcho Mwamba akiteta na GPL. KUTOKANA na kuwepo kwa minong’ono juu ya mwanamuziki mwenye asili ya Kongo, Patcho Mwamba kudaiwa kufumaniwa na mke wa mtu na kisha kudundwa na kutoka manundu, GPL limefanya mahojiano na msanii huyo na kupata ukweli kuhusu ‘fumanizi’ hilo. Kwa kuufahamu ukweli huo tembelea www.globatvtz.com (Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL) ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies01 Oct
Patcho Mwamba Kujaribu Kipindi
Msanii wa maigizo, muimbaji, Mtunzi, Mpanga Muziki na Mchekeshaji Patcho Mwamba ameendelea kuongeza fani ambazo amekuwa akizimudu vyema kwa upande wa sanaa, huku akiwa katika maandalizi ya kutoa albam mpya ya bendi ya FM Academia.
Star huyo amejipanga kwa ajili ya kutengeneza kipindi kitakachosimama kwa jina la Bana Congo ambacho atawafahamisha mashabiki zaidi juu yake mara baada ya uchaguzi.
Patcho ameiambia eNewz kuwa kwa sasa hana filamu yoyote kubwa ambayo anatayarisha kama yeye,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k3CULkKWsLZxKRX4byBKeDAkKv-4BL3S99Q4CxTs5x68zkx2UJJH88q68gx42yXAmn2QV5fke1cPzUsd7rT0TDZ1l5EiL0I5/breakingnews.gif)
PATCHO MWAMBA AKANUSHA KUFUMANIWA, KUPIGWA
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
UPDATE: PATCHO MWAMBA akanusha kufumaniwa na kupigwa. Adai ni pombe.
Habari tulizopzipata kupitia mtandao wa GPL zinsema, MWIGIZAJI na mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba hivi punde ameibuka katika ofisi za mtandao huu na kukanusha vikali taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amefumaniwa akiwa na mke wa mtu na kupokea kipigo.
Akiongea na mtandao huo, Patcho amesema picha iiliyozagaa mitandaoni aliipost mwenyewe juzi baada ya kupata aleji ya macho ambapo baadaye ilisambaa mitandaoni ikidaiwa kuwa kapigwa baada ya fumanizi.
9 years ago
Bongo Movies27 Nov
Picha Hizi za Wema Sepetu na Patcho Mwamba Zawa Gumzo Mtandaoni
Picha za mastaa wakali wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Patcho Mwamba zilizosambaa mtandaoni wakiwa kwenye mapozi mtamu matamu yakiwaonyesha kama ni wapenzi zimekuwa kivutio miongoni mwa mashabiki wao. Picha hizo ni picha za promo ya filamu yao mpya ya Chungu cha Tatu inayotarajiwa kuingia sokoni siku chache zijazo.
Chungu cha Tatu imetayarishwa na kutengenezwa chini ya kampuni ya Jerusalem Filims.
Jionee picha zaidi HAPA
9 years ago
Vijimambo15 Sep
Ukweli elimu bure ya Lowassa huu hapa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Edo-15Sept2015.png)
Lowassa katika uzinduzi wake wa kampeni alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano-hali iliyozua ubishi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi.
Baadhi ya vigogo wa CCM wanadai ni ndoto kutoa elimu bure kwa kuzingatia hali...
10 years ago
CloudsFM31 Dec
PATCHO MWAMBA AMSAMEHE ALIMZUSHIA KUWA AMEPIGWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Msanii maarufu wa bendi na ambaye pia muigizaji wa Bongo Movie, Patcho Mwamba amemsamehe aliyemzushia kuwa amepigwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kwenye hotel ya Sinza.
Kupitia Uheard ya Clouds fm na Soudy Brown Patcho alitangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kuingiliwa...
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!
Hatimaye imekuwa dhahili kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa kama Wanjera walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.
Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera itaruka hewani kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.
Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.
Mzee wa...