Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

Na waandishi Wetu NIkweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa kwa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na kupewa fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho, ukweli wa jambo hilo umeibuliwa, Uwazi linakupa zaidi. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1N6u2sS...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa, Dk. Slaa, tusipotoshe ukweli

MSEMA kweli ni mpenzi wa Mungu.

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli kuhusu Dr. Slaa by A.N Chilongola (LLM)

Taharuki imetanda juu ya wapi alipo Katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa. kila mtu anazungumza lake kwa kadri anavyoelewa. wengine wakisema yupo kwenye maandalizi ya vikao vya kamati kuu na wengine wakisema amejificha kwa sababu hakubaliani na maamuzi ya kumleta EL kwenye chama.

Mimi kama kada wa chadema wa muda mrefu na mwanasheria mzoefu nimefanya utafiti na nimejiridhisha bila shaka yoyote kuwa hali si shwari ndani ya chadema licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa kuonesha kuwa hakuna...

 

9 years ago

Vijimambo

Ukweli elimu bure ya Lowassa huu hapa.

Ahadi aliyoitoa mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), ya kutoa elimu ya Chuo Kikuu bure inaweza kugharimu Taifa kiasi cha Sh. trilioni 1.35($675millioni) kwa mwaka, Nipashe limebaini.

Lowassa katika uzinduzi wake wa kampeni alitoa ahadi ya kutoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu iwapo atachaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano-hali iliyozua ubishi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi.

Baadhi ya vigogo wa CCM wanadai ni ndoto kutoa elimu bure kwa kuzingatia hali...

 

11 years ago

GPL

HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI

Hati ya Usajili wa Emmanuel Okwi kama inavyoeneka kwneye system ya CAF. Uongozi wa klabu ya Young Africans umeamua kuweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji imemzuia kuichezea Young Africana mpaka watakapopata uthibitisho kutoka FIFA. Young Africans ilikamlisha usajili wa mshambuliaji huyo tangu Disemba 15 mwaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!

Hatimaye imekuwa dhahili  kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa  kama Wanjera  walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa  siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.

Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera  itaruka hewani  kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.

Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.

Mzee wa...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Bongo5

Huu ndio ukweli kuhusu picha za Dayna na Nando zilizozua maswali mengi, kama ni mapenzi au kazi!

Hatimaye jibu la maswali yaliyojitokeza zaidi ya mwezi mmoja uliopita baada ya picha za Dayna na Nando wakiwa katika hali iliyoashiria kuna kitu zaidi ya urafiki baina yao, limepatikana. Ijumaa hii (August 1) Dayna anaachia video ya single yake mpya ‘I DO’ ambayo mshiriki wa Big Brother 2014 Ammy Nando amecheza kama mpenzi wa Dayna […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani