Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha za sherehe zilizofutwa kutumika kutekeleza sera ya Elimu bure

1

Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa ufafanuzi  kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi kulingana na  bajeti ilivyopangwa ambapo fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

5 years ago

Michuzi

Zanzibar kuendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure

Na Khadija  Khamis- Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha  Wagonjwa nje ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa  Afya Hamad Rashid Mohamed huko Hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja katika Wodi ya Wagonjwa wa Ngozi  .

Alisema Serikali haijashindwa kuwahudumia wananchi wake hivyo si vyema kuisambaza picha ya Mgonjwa katika mitandao ya kijamii kwa nia ya kutafuta  michango ya wafadhili...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Idara ya...

 

9 years ago

Vijimambo

SERA YA LOWASSA ELIMU YA JUU BURE ‪#‎HAIWEZEKANI‬ KWA SASA


HOJA ya UKAWA: ELIMU Bure mpaka chuo kikuu! Tanzania ina Vyuo vikuu 54. Tusidanganyike kama Watoto wadogo haiwezekani hata kidogo!!TAFAKARI: tutathmini tu watu wa Shahada ya kwanza! Mwaka 2014/2015 TCU inatarajia kudahili wanafunzi 48, 000.Kwa mwanafunzi mmoja chuo kikuu fani ya Sayansi ya asili (Natural Science) kwa mwaka mmoja anahitaji kiasi kisichopungua Tshs 5,500, 000 (tuition fees, stationary, meal and accommodation, field, Equipments n. k).
Kwa mwaka huu 2014/2015 TCU kwa sayansi...

 

9 years ago

Michuzi

WATAOPEWA FEDHA ZA ELIMU BURE WATAKIWA KUWA NA UADILIFU NA UAMINIFU –SHIRIKISHO

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limesema  kuwa waliopewa wajibu wa kusimamia fedha za elimu  bure wanatakiwa uaminifu na uadilifu kutimiza suala hilo.
Akizungumza na waandishi habari  Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Zainabu Abdallah amesema kuwa kwa wale ambao watakiuka matumizi ya fedha za elimu bure, wamemtaka Rais John Pembe Magufuli  kutokuwa na huruma kwa yeyote atakayefanya urasimu usio na tija kukwamisha utekelezaji...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

10 years ago

Habarileo

Washauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema

WADAU na vijana mkoani Kilimanjaro, wameishauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema ya mwaka 1993-1994, ambayo inazungumzia majukumu ya hifadhi za utalii katika kuchangia maendeleo kwenye maeneo yanayozunguka hifadhi hizo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha, IMF na WB wazungumzia sera fedha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni  kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu  Prof. Benno Ndulu  ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii.Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato...

 

9 years ago

Michuzi

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI -TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu na Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nchi wanachama wameingia katika hatua nyingine ya mikutano ya Kamati Sita zinazounda Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati zinazounda Baraza Kuu na ambazo zimeanza mikutano yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani