Wizara ya Fedha, IMF na WB wazungumzia sera fedha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii.Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
10 years ago
VijimamboMIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC
10 years ago
MichuziWIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Wizara ya Fedha yaimarisha mifumo ya fedha
WIZARA ya Fedha imesema itafanya marekebisho mbalimbali katika bajeti ijayo ya 2014/2015, ikiwa ni pamoja na kuimarisha mifumo ya fedha.
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M6xhRs2dG6w/XvZDHJSfefI/AAAAAAALvnk/CQ2VlY3QKUUgjTsRfQlO0MzaCAdMA8n5QCLcBGAsYHQ/s72-c/1-56-scaled.jpg)
IMF YAAHIDI KUIPATIA TANZANIA FEDHA ITAKAYOIHITAJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-M6xhRs2dG6w/XvZDHJSfefI/AAAAAAALvnk/CQ2VlY3QKUUgjTsRfQlO0MzaCAdMA8n5QCLcBGAsYHQ/s1600/1-56-scaled.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania Bw. Jens Reinke
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/2-38-scaled.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akimuelezea jambo Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania Bw. Jens Reinke leo katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/3-39-scaled.jpg)
Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania Bw. Jens Reinke akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)
Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC
Waziri wa...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya akutana na Joly wa (IMF) pamoja na Larose wa (WB)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose ofisini kwake mjini Washington DC.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile , Bw. Beda Shallanda Kamishina wa Sera na Bw. Paul...