Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI -TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu na Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nchi wanachama wameingia katika hatua nyingine ya mikutano ya Kamati Sita zinazounda Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati zinazounda Baraza Kuu na ambazo zimeanza mikutano yake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI-TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya Maendeleo ya Jamii katika Mkutano wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati Sita zinazounda Baraza hilo zimeanza mikutano yake ikiwa ni wiki moja tangu kukamilika kwa mikutano ya Kilele ya Viongozi wa Kuu wa Nchi na Serikali iliyofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Na  Mwandishi Maalum, New YorkIkiwa ni Wiki  moja kupita   tangu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yajipanga kutekeleza Mpango mpya wa Maendeleo Endelevu (SDGs)

SDGs 1

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs).

SDGs 2

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo...

 

10 years ago

Habarileo

Washauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema

WADAU na vijana mkoani Kilimanjaro, wameishauri serikali kutekeleza sera ya ujirani mwema ya mwaka 1993-1994, ambayo inazungumzia majukumu ya hifadhi za utalii katika kuchangia maendeleo kwenye maeneo yanayozunguka hifadhi hizo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Fedha za sherehe zilizofutwa kutumika kutekeleza sera ya Elimu bure

1

Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa ufafanuzi  kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi kulingana na  bajeti ilivyopangwa ambapo fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw....

 

10 years ago

Dewji Blog

Mipango na sera zitekelezwe kumuokoa mama na mtoto mchanga

DSC_0334

Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu,...

 

10 years ago

Michuzi

SHEIN AANDAA MIPANGO NA SERA ZA KUSAIDIA VIJANA ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeandaa mipango na sera nzuri za kuwasaidia vijana ili waweze kujiajiri wenyewe hasa waliojiunga katika vikundi vya ushirika na SACCOS.
Dk. Shein alisema kuwa Serikali imeanzisha Mfuko wa kuwawezesha Wananchi Kiuchumi na tayari watu kadhaa wameanza kufaidika na Mfuko huo sambamba na kuwapatia mafunzo ya kitaalamu pamoja na kuvipatia vikundi vya ushirika...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Elimu n Mafunzo ya Mwaka 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Sifuni Mchome akiwasilisha mada kuhusu Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa katika warsha fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2015. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Idara ya...

 

5 years ago

Michuzi

Zanzibar kuendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure

Na Khadija  Khamis- Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha  Wagonjwa nje ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa  Afya Hamad Rashid Mohamed huko Hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja katika Wodi ya Wagonjwa wa Ngozi  .

Alisema Serikali haijashindwa kuwahudumia wananchi wake hivyo si vyema kuisambaza picha ya Mgonjwa katika mitandao ya kijamii kwa nia ya kutafuta  michango ya wafadhili...

 

10 years ago

GPL

MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA‏

Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa. Kaimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani