Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yajipanga kutekeleza Mpango mpya wa Maendeleo Endelevu (SDGs)

SDGs 1

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs).

SDGs 2

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UTASHI WA KISIASA WAHITAJIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs) YA 2016-2030

 Meneja wa Program wa Restless Development,Oscar Kimaro akizungumza na vijana (Hawapo Pichani )kutoka asasi mbalimbali kuelelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs) iliyofanyika katika Makao Makuu Asasi hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Asasi ya Hope Foundation for Social Interprenuership na Mratibu wa Kampeni ua Beyond 2015 Tanzania,Tumaniel Mangi  akizungumza na vijana  (hawapo pichani) juu ya kuwa mabalozi wa malengo 17 ya SDGs katika mkutano  uliyofanyika Makao Makuu ya Asasi...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO ENDELEVU (SDG 1&20).


Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifatilia mafunzo ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu kwenye maeneo ya kuondoa njaa pamoja na Afya na ustawi wa Watu (SDG 1&2) yaliyotolewa na Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Ndg. Josiah Mwabeza katika semina iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Peter Serukamba (Kushoto) akichangia wakati...

 

9 years ago

Habarileo

JK aaga UN, aomba isaidie kutekeleza SDGs

RAIS Jakaya Kikwete ameaga Umoja wa Mataifa (UN) na kuuomba uweke mikakati kabambe ya kusaidia mataifa duniani kufikia Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Amesema huko nyuma mataifa mengi yalishindwa kutekeleza Malengo ya Milenia (MDGs), kwa sababu hayakusaidiwa kikamilifu kufikia malengo hayo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maendeleo Endelevu 17 ya Dunia yazinduliwa Tanzania

IMG_3349

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins-Falk (katikati) wakipata picha ya kumbukumbu sambamba na mmoja wa wadau wa maendeleo. (Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

UMOJA wa Mataifa kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania wamezindua rasmi malengo ya Maendeleo Endelevu 17 ( SDGs).

Malengo hayo ambayo pia yanajulikana kama...

 

9 years ago

Michuzi

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI -TANZANIA

Na Mwandishi Maalum, New York Ikiwa ni Wiki moja kupita tangu Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Dunia, kuhitimisha ushiriki wao katika mikutano muhimu mikuu miwili, upitishwaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu na Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nchi wanachama wameingia katika hatua nyingine ya mikutano ya Kamati Sita zinazounda Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati zinazounda Baraza Kuu na ambazo zimeanza mikutano yake...

 

9 years ago

Vijimambo

TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI-TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya Maendeleo ya Jamii katika Mkutano wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati Sita zinazounda Baraza hilo zimeanza mikutano yake ikiwa ni wiki moja tangu kukamilika kwa mikutano ya Kilele ya Viongozi wa Kuu wa Nchi na Serikali iliyofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Na  Mwandishi Maalum, New YorkIkiwa ni Wiki  moja kupita   tangu...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI NCHINI KENYA

Ujumbe wa Tanzania Kwenye Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa tatu wa Maendeleo endelevu ya Miji na Makazi Duniani (HABITAT 3) unaofanyija jijini Nairobi nchini Kenya. Ujumbe huo unaongozwa na Naibu katibu Mkuu,Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Dkt.Seleseid D.Mayunga (MBELE KULIA). Wengine pichani ni Maafisa waandamizi wa serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani