Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTASHI WA KISIASA WAHITAJIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs) YA 2016-2030

 Meneja wa Program wa Restless Development,Oscar Kimaro akizungumza na vijana (Hawapo Pichani )kutoka asasi mbalimbali kuelelekea malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDGs) iliyofanyika katika Makao Makuu Asasi hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Asasi ya Hope Foundation for Social Interprenuership na Mratibu wa Kampeni ua Beyond 2015 Tanzania,Tumaniel Mangi  akizungumza na vijana  (hawapo pichani) juu ya kuwa mabalozi wa malengo 17 ya SDGs katika mkutano  uliyofanyika Makao Makuu ya Asasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Na Chalila Kibuda ,Globu ya JamiiVIJANA Watanzania  wameungana katika harakati za kupambana na Mabadilikio ya Tabianchi kutokana na kuwa idadi kubwa ya watu kuweza kufanya mabadiliko hayo.
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...

 

11 years ago

Michuzi

TAKWIMU RASMI NA ENDELEVU NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA SERA ZA MAENDELEO -UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum  Wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa 45 wa Kamisheni ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa, wamepewa changamoto ya kuhakikisha kwamba, Takwimu rasmi na sahihi zinaunga mkono pamoja na mambo mengine, utekelezaji na usimamizi wa Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu ( SDGs) baada ya 2015.  Changamoto hiyo imetolewa siku ya Jumanne na Katibu Mkuu Msaidizi Bw. WU HONGBO anayeongoza Baraza la Umoja wa Mataifa linalosimamia masuala ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii ( ECOSOC)....

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yajipanga kutekeleza Mpango mpya wa Maendeleo Endelevu (SDGs)

SDGs 1

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs).

SDGs 2

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika mkutano wa wadau wa takwimu uliondaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wenye lengo la kujadili na kukubaliana jinsi ya kutekeleza mpango wa Maendeleo...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)

unnamed (1)Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Balozi  Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa  kwa pamoja  na  Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika  ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula,  lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika  siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa uzalendo, utashi wa kisiasa katika kukuza Kiswahili

Niliwahi kuandika kwamba Serikali imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kimataifa kuhusu kukiendeleza Kiswahili.

 

9 years ago

Michuzi

MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU

Na Mwandishi Maalum , New York Maspika wa Mabunge kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamemaliza mkutano wao wa Nne kwa kupitisha tamko ambalo pamoja na mambo mengine, linayataka Mabunge kuhakikisha yanasimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa Malengo na Ajenda Mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030). Akihitimisha mkutano huo wa Maspika ambao hufanyika kila baada ya Miaka mitano, Rais wa Chama cha Kimataifa cha Mabunge ( IPU) Saber Chowdhur amesema, Maspika na...

 

9 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA LEO KUANDIKA HISTORIA NYINGINE: Anjenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)

 Haya ndiyo  Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (Ajenda 2030) ambayo  leo Ijumaa Wakuu wa Nchi na Serikali wanayapitisha katika Mkutano wao wa Kihistoria  Unaofanyika  Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani. Ajenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani inachukua nafasi ya  Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs) ambayo yamefikia ukiongoni mwaka huu.  Upitishaji wa Ajenda 2030 utatanguliwa na hotuba ya Baba Mtakatifu Francis  Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Mwananchi

Pasipo utashi wa kisiasa ujangili hautakwisha

Rais Jakaya Kikwete juzi alikabidhiwa magari 11 ya kisasa kutoka kwa Chama cha Uhifadhi wa Wanyama cha Frankfurt (FZS), kilichopo nchini Ujerumani kwa ajili ya kusaidia operesheni ya kupambana na ujangili dhidi ya wanyamapori.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba nzuri bila utashi wa kisiasa ni bure

DESEMBA 30, 2013, rasimu ya pili ya katiba imewasilishwa serikalini. Ni ishara kwamba tunaelekea kupata Bunge la Katiba,  kura ya maoni na hatimaye katiba mpya kama itaridhiwa. Ukisikiliza maoni kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani