WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini wametembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AWATUNUKU VYETI WADAU WA ELIMU
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenester Mhagama akiongea na Global TV Online leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar wakati wa kutunuku vyeti wadau wa elimu. Wanahabari wakimhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Rosemary Lulabuka baada ya zoezi la kutunuku vyeti wadau wa elimu leo kwenye Hoteli ya…
11 years ago
MichuziWAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE. ALI JUMA SHAMHUNA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI OMAN
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa serikali ya Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna, alifanya ziara ya Kikazi nchini Oman kuanzia tarehe 16 hadi 20 February 2014 kwa Mwaliko wa mwenyeji wake Mheshimiwa Dr. Rawiyah Al Busaidi, Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman.
Ziara hii ilikuwa na madhumuni makuu ya kuimarisha uhusiano wa kindungu uliopo baina ya Oman na Tanzania kupitia sekta ya Elimu na kuimarisha uhusiano wa karibu na ushirikiano baina ya taasisi za elimu kati ya Tanzania na...
Ziara hii ilikuwa na madhumuni makuu ya kuimarisha uhusiano wa kindungu uliopo baina ya Oman na Tanzania kupitia sekta ya Elimu na kuimarisha uhusiano wa karibu na ushirikiano baina ya taasisi za elimu kati ya Tanzania na...
10 years ago
MichuziWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt Shukuru Kawambwa akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa pamoja na viongozi wa elimu nchini watembelea Singapore kujifunza jinsi nchi hiyo ilivyofanya mageuzi makubwa katika mfumo wa elimu na mafunzo. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi. Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika kada ya...
11 years ago
MichuziNAIBU WA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Mhe. JENISTA MHAGAMA ATEMBELEA BODI YA MIKOPO
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Jenista Mhagama (MB) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. George R.W. Nyatega (kushoto)) katika Ofisi za Bodi hiyo zilizoko Mwenge, Dar Es Salaam.
Mh.Naibu Waziri akipeana mkono na baadhi ya wawakilishi wa Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu.
Naibu Waziri Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
Naibu Waziri Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
11 years ago
Michuzi08 Jul
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO, Dr. SHUKURU KAWAMBWA, AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI " IMPERIAL" KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA.
Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr. Shukuru Kawambwa, jana Tarehe 7 July-2014, alitembelea maenesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (TANTRADE) , yajulikanayo kama maonesho ya Saba Saba, na kutembelea Banda la Shule ya Sekondari Imperial, Dr. Kawambwa ametoa pongezi kwa uongozi na waalimu wa Shule ya Sekondari Imperial, kwa Jinsi ilivyojipanga kuhakikisha inatoa Elimu Bora Nchini, inayokidhi viwango vya Kimataifa, kwa gharama nafuu.
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...
Shule ya Sekondari Imperial, iko Msolwa-Chalinze.
Shule imejengwa...
11 years ago
GPLWAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI 'IMPERIAL' KWA JINSI ILIVYO JIPANGA KUTOA ELIMU BORA
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akipokelewa na Mabalozi wa shule ya sekondari ya Imperial wakati alipowasili kwenye banda la shule hyo jana na kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa shule hiyo na waalimu. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Dr. Shukuru Kawambwa akiingia katika banda la shule ya sekondari Imperial.… ...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mafunzo Elimu ya Juu
Tunapozungumzia  elimu ya juu tuna maana ya elimu inayotolewa baada ya kidato cha sita. Wahusika wanatakiwa wawe wamechukua masomo yao kwa kipindi kinachoanzia mwaka moja hadi mitano baada ya kufaulu vizuri masomo yao ya kidato cha sita. Wahitimu wanapata vyeti vya stashahada au shahada ya kwanza, uzamili au uzamivu.
10 years ago
MichuziMhe Anna Kilango Malecela atembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Naibu waziri Anne Kilango Malecela akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Jumatatu. Wa pili kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TEA Bw. Joel Laurent, na watatu kutoka kushoto ni Bi, Paulina Mkoma kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mhe. Anna Kilango Malecela ametembelea Mamlaka ya Elimu Tanzania katika ziara yake ya kutembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania