Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo

Kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Global Vision, kilichopo Chekereni Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro kinakabiliwa na ukosefu wa choo hali inayosababisha watoto kujisaidia vichakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Marasibora wajisaidia vichakani

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Marasibora iliyoppo Kata ya Kisumwa, wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wanajisaidia vichakani baada ya vyoo vya shule hiyo kuanguka. Hatua hiyo inatokana na uongozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .

Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 600 wajisaidia vichakani

ZAIDI ya wanafunzi  600 wa Shule ya Msingi Kayaki iliyopo Kata ya Ilima wilayani Rungwe mkoani Mbeya, wapo hatarini kupata magonjwa ya milipuko kutokana na kukosa vyoo hatua inayosababisha wajisaidie...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule yafungwa kwa kukosa choo

SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo

Mkaguzi Mkuu wa Shule za Msingi wilayani Tarime Josephu Mowinga ameifungia Shule ya msingi Kegonga iliyopo kata ya Kegonga baada ya kubainika haina choo kwa muda mrefu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu

Jana katika ukurasa wa sita wa gazeti hili kulikuwa na habari iliyosomeka ‘shule kufungwa kwa kukosa choo’. Habari hiyo ilisema Shule ya Msingi Bufanka wilayani Bukombe mkoani Geita ipo hatarini kufungwa kutokana na choo cha wanafunzi kutitia hivyo kuhatarisha usalama wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kukosa Choo: Tatizo sugu linalowatesa wengi

>Waswahili wanao usemi maarufu kuwa, raha ya nyumba ni choo.Kwa hakika, hawakukosea kwani chakula chochote kinapoliwa lazima kitumike mwilini na mabaki yake kutolewa kwa njia ya haja kubwa.

 

10 years ago

Vijimambo

DK. MANDAI AKIELEZEA TATIZO LA KUKOSA CHOO NA NAMNA YA KUKABILIANA NALO



Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, Dk. Abdallah MandaiKuna wakati huenda huwa ukawa unajikuta ukipitisha siku mbili au tatu bila kwenda msalani kupata haja kubwa, huenda ukawa haufahamu ni kwanini hali hiyo inakutokea au ilikutokea.
Lakini hapa Dk Mandai anakupa fursa ya kufahamu kuhusu tatizo hilo la kukosa choo ambalo wenzetu wazungu huliita 'consumption'. Karibu utazame kipindi hiki hapo chini ujifunze mengi pia kuhusu tiba asilia zitokanazo na mimea, matunda, nafaka na mitishamba.

 

10 years ago

Mwananchi

Naishi kwa huduma ya choo

Pengine inaweza kuwa ni biashara ngumu na yenye changamoto nyingi kufanywa na wanawake, lakini hii haimkatishi tamaa Blandina Mgimba (29).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani