Naishi kwa huduma ya choo
Pengine inaweza kuwa ni biashara ngumu na yenye changamoto nyingi kufanywa na wanawake, lakini hii haimkatishi tamaa Blandina Mgimba (29).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRC HAPI:ATOA SIKU TATU UONGOZI WA SOKO MAFINGA KUBORESHA HUDUMA YA CHOO
NA FREDY MGUNDA,MAFINGA. WAFANYABIASHA wa soko kuu la Mafinga mkoani Iringa wamelalamikia kukosekana kwa huduma bora ya choo kwa kuwa inahatarisha afya za...
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Mwamaja: Naishi na maumivu makali kwa miaka 34
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Shule yafungwa kwa kukosa choo
SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
UNIC yaelimisha siku ya choo kwa vijana walio nje ya shule
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.
Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.
Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.
Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mtoto wa mjini naishi kama digidigi!
Ukisikia sentensi imeanza na Wahenga walisema…usiipuuze. Hawa wazee wa zamani walitunga misemo enzi hizo wakati hata baiskeli hawaijui, lakini maneno yao mpaka leo kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia yana uzito uleule.
Mimi hapa bosi wa mabosi, pedeshee wa mapedeshee ambaye katika kila nyimbo nne za nchi hii lazima tatu zinitaje, leo hii nikisikia jina langu likitajwa najificha uvunguni mwa kitanda, presha inapanda. Mimi, niliyekuwa hata maji lazima ninywe yaliyotoka nje ya nchi,...