WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .
![](http://2.bp.blogspot.com/-p_VsGvbsMq0/VD6BAzqc1CI/AAAAAAAAEDM/mVa2Zxe3sT4/s72-c/maige%2Bezekielwaziri.jpg)
Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Wanafunzi Marasibora wajisaidia vichakani
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Marasibora iliyoppo Kata ya Kisumwa, wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wanajisaidia vichakani baada ya vyoo vya shule hiyo kuanguka. Hatua hiyo inatokana na uongozi wa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Wanafunzi 600 wajisaidia vichakani
ZAIDI ya wanafunzi 600 wa Shule ya Msingi Kayaki iliyopo Kata ya Ilima wilayani Rungwe mkoani Mbeya, wapo hatarini kupata magonjwa ya milipuko kutokana na kukosa vyoo hatua inayosababisha wajisaidie...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Wajisaidia vichakani kwa kukosa choo
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Wanafunzi Manyara wawashukia walimu
WAKATI wadau wa elimu wakitupia lawama kwa wanafunzi na wazazi, wanafunzi mkoani Manyara wamewalaumu walimu wao kwa kutokuwa na mahusiano mazuri wawapo shuleni. Wakizungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya Juma...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu
11 years ago
Habarileo07 Jan
Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu
BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.
11 years ago
BBCSwahili22 May
Walimu waandamana Nigeria kutetea wanafunzi
10 years ago
Habarileo06 Mar
Walimu wahusishwa na ubakaji kwa wanafunzi
KESI za kulawiti watoto mashuleni imeelezwa kuwa wanaofanya ukatili huo wa kijinsia kwa watoto hao baadhi yao ni walimu wanaowafundisha na kwamba kutokana na walimu hao kuhitajika shuleni hapo baadhi ya uongozi wa shule umekuwa ukishindwa kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kushindwa kuripoti katika dawati hilo.