Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi Manyara wawashukia walimu

WAKATI wadau wa elimu wakitupia lawama kwa wanafunzi na wazazi, wanafunzi mkoani Manyara wamewalaumu walimu wao kwa kutokuwa na mahusiano mazuri wawapo shuleni. Wakizungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya Juma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya walimu wa Mkoa wa Manyara

Baadhi ya walimu wa Mkoa wa Manyara wakishikana mikono kwa lengo la kuonyesha umoja na mshikamano daima kwenye maadhimisho ya siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham Kisimbi akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.Walimu wa Mkoa wa Manyara, wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mahamoud Kambona wakati...

 

9 years ago

Mwananchi

Walimu Manyara watakiwa kujipanga kutumia benki yao

Walimu mkoani Manyara wametakiwa kujipanga ili wapate huduma za fedha kwenye Benki ya Walimu ambayo imepata leseni.

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SEMINA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UUGUZI MANYARA

  Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail, wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Vijimambo

WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .

Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wahusishwa na ubakaji kwa wanafunzi

KESI za kulawiti watoto mashuleni imeelezwa kuwa wanaofanya ukatili huo wa kijinsia kwa watoto hao baadhi yao ni walimu wanaowafundisha na kwamba kutokana na walimu hao kuhitajika shuleni hapo baadhi ya uongozi wa shule umekuwa ukishindwa kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kushindwa kuripoti katika dawati hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Walimu waandamana Nigeria kutetea wanafunzi

Walimu Nigeria wanafanya maandamano ya siku moja kushinikiza serikali kuharakisha juhudi zake za kuwatafuta wasichana waliotekwa nyara

 

10 years ago

Habarileo

Walimu walalamika wanafunzi kukosa maadili

WALIMU wamelalamikia kuwepo kwa maporomoko makubwa ya maadili miongoni mwa wanafunzi na kwamba sheria iliyopo haikidhi kusimamia nidhamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamarere iliyopo Kata ya Nkome mkoani Geita, wamelalamikia kutumikishwa kazi za vibarua na walimu wao.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu

BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani