Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wahusishwa na ubakaji kwa wanafunzi

KESI za kulawiti watoto mashuleni imeelezwa kuwa wanaofanya ukatili huo wa kijinsia kwa watoto hao baadhi yao ni walimu wanaowafundisha na kwamba kutokana na walimu hao kuhitajika shuleni hapo baadhi ya uongozi wa shule umekuwa ukishindwa kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kushindwa kuripoti katika dawati hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA MWENGE MOSHI WATUHUMIWA KWA UBAKAJI

Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji. Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki kuwabaka kabla ya kwenda kuonesha mwenzake alipo.…

 

11 years ago

Habarileo

Walimu 4 wafukuzwa kazi kwa mapenzi na wanafunzi

WALIMU wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali 'yamwaga' mamilioni kwa wanafunzi, walimu

SERIKALI jana ilimwaga mamilioni ya fedha kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri katika elimu miongoni mwake ikiwa ni kitita cha Sh milioni tatu kilichotolewa kwa shule 60 kila moja kwa ajili ya walimu walioleta maendeleo.

 

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU

Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo. Ilemela ni moja kati ya majimbo saba yanayounda Mkoa wa Mwanza ambalo linaongozwa na Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA). Wiki iliyopita, Uwazi lilitembelea Kata za Nyakato, Mecco, Buzuruga, Nyasaka, Ilemela, Kahama, Kiseke, Sangabuye, Kayenze, Bugongwa, Shibuda, Pasiansi, Kawekamo, Kitangiri, Kirumba,...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif: mapungufu sekta ya elimu ni changamoto kwa walimu na wanafunzi maskulini






Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vikalio 25 Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Fujoni Bibi Jamila Soud Saleh ili kusaidia kuondosha upungufu wa madeski katika skuli hiyo iliyomo ndani ya Mkoa wa Kaskazini Unguja.Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Fujoni wakifuatilia hafla fupi ya kukabidhiwa madeski kwa Skuli yao yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi.
Picha na – OMPR – ZNZ.

Na Othman Khamis Ame, OMPR
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MAKAMBAKO KUTOA MOTISHA KWA WALIMU WATAKAOFAULISHA WANAFUNZI KATIKA MASOMO YAO

Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkurugezi wa halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe, Paulo Malala ametoa motisha kwa walimu watakaoweza kufaulisha wanafunzi katika masomo yao kwa kupata alama A ambapo watapata posho ya shilingi elfu hamsini kwa kila mwanafunzi atakayepata alama hiyo katika somo lake.

Mkurugenzi aliyasema hayo Hayo katika kikao cha tathimini ya elimu ya halmashauri hiyo na kusema kuwa motisha hiyo ni chachu kwa walimu kwani itawapelekea kufanya juhudi katika kufundisha ili...

 

10 years ago

Habarileo

Ushirikina wahusishwa kuteketea kwa bweni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWANAFUNZI wa kike 64 wa shule ya sekondari Mpwapwa hawana mahali pa kuishi baada ya bweni lao kuteketezwa kwa moto unaosadikiwa na wanafunzi ni wa kishirikina.

 

10 years ago

Vijimambo

WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .

Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Manyara wawashukia walimu

WAKATI wadau wa elimu wakitupia lawama kwa wanafunzi na wazazi, wanafunzi mkoani Manyara wamewalaumu walimu wao kwa kutokuwa na mahusiano mazuri wawapo shuleni. Wakizungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya Juma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani