Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho ya siku ya walimu wa Mkoa wa Manyara

Baadhi ya walimu wa Mkoa wa Manyara wakishikana mikono kwa lengo la kuonyesha umoja na mshikamano daima kwenye maadhimisho ya siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.Mwenyekiti wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham Kisimbi akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.Walimu wa Mkoa wa Manyara, wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mahamoud Kambona wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Singida mwenyeji maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, Desemba Mosi mwaka huu

DSCN5262

Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone,jana akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya kufanyika kwa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani kitaifa mkoani Singida. DSCN5254 Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Singida,wakiwa kwenye harakati za kupata picha bora ya mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone (hayupo kwenye picha) jana.Mkuu huyo wa mkoa,alikuwa akitoa taarifa ya kufanyika kwa maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA SIKU SITA YA WALIMU WAKUU NA WARATIBU ELIMU KATA

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Erasmus Rugarabamu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku sita ya Walimu Wakuu Shule za Msingi na Waratibu Elimu Kata juu ya muongozo wa uendeshaji wa shule (School Management Tool Kit) pamoja na usimamizi wa ufundishaji wa kusoma, kuandika na kuhesabu leo tarehe 03 Julai 2015. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Serikali kupitia Wizara ya Elimu yanafanyika Mkoani Rukwa katika Chuo cha Ualimu Sumbawanga ambapo jumla ya washirikia 200 kutoka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Manyara wawashukia walimu

WAKATI wadau wa elimu wakitupia lawama kwa wanafunzi na wazazi, wanafunzi mkoani Manyara wamewalaumu walimu wao kwa kutokuwa na mahusiano mazuri wawapo shuleni. Wakizungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya Juma...

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida

Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.

Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.

Baada ya Serikali kufuta...

 

9 years ago

Mwananchi

Walimu Manyara watakiwa kujipanga kutumia benki yao

Walimu mkoani Manyara wametakiwa kujipanga ili wapate huduma za fedha kwenye Benki ya Walimu ambayo imepata leseni.

 

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara ya Mkoa wa Manyara

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh wilayani Hanang ambapo aliwaambia wananchi wanapaswa kushirikiana na serikali yao katika kuleta maendeleo na kuachana na mambo mengi yanayoendelea kwenye siasa.

unnamed (1)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katesh kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo ambapo aliwaambia wananchi CCM imejipanga vizuri sana kiasi cha wananchi wengi kuendelea kuiamini ,alisisitiza nchi nzima ofisi za CCM...

 

10 years ago

Mwananchi

Sekondari ya Nangwa yautoa kimasomaso mkoa wa Manyara

“Kila wakati nimekuwa nikiwasisitiza wananchi wasizibeze shule za sekondari za kata, kwani zina manufaa makubwa kwa jamii kutokana na kuwapatia elimu watoto wetu na sasa shule ya sekondari Nangwa ambayo ipo kijijini imeshika nafasi ya saba kitaifa kwa ufaulu.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani