Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi Geita walalamikia kutumikishwa na walimu

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamarere iliyopo Kata ya Nkome mkoani Geita, wamelalamikia kutumikishwa kazi za vibarua na walimu wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wenye virusi walalamikia walimu

BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi mkoani Pwani wenye virusi vya Ukimwi, wamesema baadhi ya walimu huwataka kimapenzi licha ya kuwaeleza ukweli juu ya hali zao kiafya.

 

11 years ago

Habarileo

Walimu walalamikia posho ya semina BRN

WALIMU wa zaidi ya 100 wa shule za msingi saba za Kata ya Buigiri wilayani Chamwino wamelalamikia posho ya ushiriki katika semina ya Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN). Semina hiyo iliandaliwa kwa ajili ya kuleta uelewa kwa walimu hao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA KIJIJI CHA SHENDA WILAYANI GEITA WALALAMIKIA UCHAFU ULIOTUPWA TAREHE 9 DISEMBA

Krantz Mwantepele,Geita
Wananchi wa kijiji cha Shenda katika kata ya Masumbwe wilayani Mbogwe mkoani Geita Wameitaka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya Mbogwe kuziondoa takataka zilizowekwa kijijini kwao kufuatia zoezi la usafi la December 9 Lililofanyika nchi nzima.
Wakiongea na waandishi wa habari za mtandaoni wananchi hao wanakijiji hao wamesema kuwa wanashangazwa na kitendo cha halmashauri ya wilaya kutupa takataka katika kijiji chao licha ya kwamba hakuna dampo la uchafu eneo...

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALALAMIKIA USAFIRI BAADA YA VYUO KUFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Charles James, Globu ya Jamii
WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu na vya kati jijini Dodoma wameishukuru serikali kwa kufunga vyuo hivyo ili kuondoa msongamano katika maeneo yao ya vyuo unaoweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
Wakizungumza na Michuzi leo jijini Dodoma wanafunzi hao wamesema kuwa ikitokea mmoja wao amekumbwa na virusi vya corona ingeweza  kusambaa kwa kasi kubwa na kupelekea maambukizi kuenea kwa haraka zaidi hivyo serikali imefanya jambo la busara kufunga vyuo na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi walala chini Geita

MBUNGE wa Busanda mkoani Geita, Lolensia Bukwiba amemwaga machozi baada ya kukuta wanafunzi wa kike zaidi 25 wa shule ya Sekondari Nyakamwaga wakilala chini kwa kukosa vitanda. Hali hiyo ilijitokeza...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wenye ulemavu wapata ujauzito Geita

Wanafunzi watatu ambao ni walemavu wa akili wanaosoma Shule Maalumu ya Msingi Mbugani, Halmashauri ya Mji Geita wamekatiza masomo baada ya kubakwa na kupata mimba.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko Geita

Shule za msingi Ukombozi na Nyankumbu zilizopo mjini Geita mkoani hapa, zipo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kukosa vyoo na msongamano mkubwa wa wanafunzi kwenye madarasa.

 

10 years ago

Vijimambo

WALIMU NA WANAFUNZI WAJISAIDIA VICHAKANI .

Mh Ezekieli Maige Mbunge wa jimbo la msalala.
Na Mohab Matukio SHULE ya msingi Izuga Kata ya ( Isaka Jana) katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga haina vyoo vya walimu na wanafunzi hali ambayo walimu pamoja na wanafunzi inasababisha kujisaidia vichakani kwazamu.
Hayo yalibainika katika risala iliyosomwa na afisa mtendaji wa Kijiji hicho Reuben Macheyeki mbele ya mbunge wa jimbo la Msalala Ezekiel Maige ilisema kwamba shule hiyo tangu ijengwe mwaka 2009 haijawahi kuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani