Wagonjwa vituo vya afya Tanga kutumia mashuka yao kutokana na uhaba wa mashuka
Uhaba wa mashuka katika vituo vya afya mkoani Tanga umesababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi jambo ambalo halikubaliki kiafya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza amekiri kuwepo kwa tatizo hilo ambalo limekuwa likisababisha usumbufu kwa wagonjwa wanaohudumiwa katika vituo hivyo.
Mahiza amesema hayo wakati akipokea msaada wa mashuka kutoka Mfuko wa Bima ya Afya NHIF kwa ajili ya kukabiliana na tatizo hilo katika mkoa wa Tanga.
Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga inajumla ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Sep
Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao
Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.
Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka 235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.
Wagonjwa mbalimbali...
10 years ago
Habarileo12 Jul
NHIF yapunguza uhaba wa mashuka hospitali ya Singida
HOSPITALI ya Mkoa wa Singida inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mashuka hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi wakati wote wanapokuwa wamelazwa hospitalini hapo.
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wagonjwa walazwa bila mashuka Tumbi
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Hospitali ya Mt. Meru yakabiliwa na upungufu wa mashuka ya kujifunikia wagonjwa
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group, Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt Meru, Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo, jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh. 2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni Makamu mwenyekiti wa kikundi hicho, Jasmine Kiure.
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine...
10 years ago
Habarileo27 Oct
Uhaba wa watumishi waathiri hospitali, vituo vya afya
UHABA wa watumishi katika hospitali na vituo vya afya mkoani Rukwa umetakiwa kutatuliwa haraka kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kampeni ya kukomesha vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.
5 years ago
MichuziNHIF TANGA YAKABIDHI MASHUKA 50 KWA WILAYA YA PANGANI
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya matumizi ya hospitali ya wilaya katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella halfa hiyo ilifanyika mjini Pangani
MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu kulia akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Seif Ally mashuka...
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Mh. Martha Mlata akabidhi mashuka 200 kwa kituo cha afya cha Sokoine
Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.
Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya
TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...
10 years ago
Habarileo25 Sep
Wawili wajinyonga kwa mashuka
WATU wawili wamekufa dunia kwa kujinyonga katika maeneo tofauti jijini Dar es Salaam, ikiwemo aliyejinyonga kwa kutumia shuka alilotundika darini.