Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mali haina wagonjwa wapya wa Ebola

Waziri wa Afya wa Mali amesema kwa sasa haina maambukizi ya virusi vya Ebola baada ya siku 42 za kutokuwa na wagonjwa wapya .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

9 years ago

Mwananchi

Wagonjwa wapya 39 wa kipindupindu wapokewa

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepokea wagonjwa wapya 39 wa kipindupindu na kufanya idadi ya watu waliolazwa kambini kufikia 50.

 

9 years ago

BBCSwahili

WHO:Sierra Leone haina Ebola

Maelfu ya watu wa Sierra Leone wameteremka katika barabara za mji mkuu, Freetown, kusherehekea kuwa zimepita siku 42 bila ya mtu yeyote kuuguwa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Liberia haina Ebola tena

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza rasmi kwamba hakuna tena Ebola nchini Liberia.

 

5 years ago

Michuzi

WAGONJWA WAPYA WA CORONA 196 WAONGEZEKA NCHINI


Na WAJMW-Dodoma

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa Corona 196 nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa Corona nchini kufikia 480.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo wakati akigawa magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa majimbo mbalimbali tukio lililofanyika leo katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo...

 

9 years ago

BBCSwahili

S Leone yatarajia kutangazwa haina Ebola

Kumekuwa na sherehe za kufana nchini Sierra Leone wakati raia wanaposubiri tangazo rasmi la shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa taifa hilo sasa halina maradhi ya Ebola.

 

11 years ago

Mtanzania

Tanzania haina kipimo cha Ebola

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid

Aziza Masoud na Geofrey Jacka, Dar es Salaam

SERIKALI imesema haina vipimo vya kutambua ugonjwa wa Ebola.

Kutokana na hali hiyo imesema ikiwa atatokea mgonjwa mwenye virusi vya ugonjwa huo watalazimika kupeleka damu ya mgonjwa jijini Nairobi nchini Kenya ambako kuna maabara inayoweza kutambua virusi hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, alisema kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani