Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagonjwa wapya 39 wa kipindupindu wapokewa

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepokea wagonjwa wapya 39 wa kipindupindu na kufanya idadi ya watu waliolazwa kambini kufikia 50.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU YAONGEZEKA KINONDONI


Chalila Kibuda,Globu ya jamiiUGONJWA wa kipindupindu unazidi kusambaa katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi habari leo Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni,Aziz Msuya watu waliofariki katika manispaa hiyo watatu.Amesema idadi ya wagonjwa katika manispaa imezidi kuongezeka kutoka 34 hadi kufikia 43.
Amesema dalili za huo ni  homa kali ,kuharisha pamoja na kutapika na kuongeza kuwa mtu akifikia dalili hizo awahi katika kituo cha afya.
Aidha amesema kujiepusha...

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindupindu Dar chaua 10, wagonjwa sasa wafikia 65

Jumla ya watu 10 hadi kufikia jana walikuwa wameshapoteza maisha kutokana ugonjwa wa kipindupindu jijini Dar es Salaam huku 93 wakiwa wamelazwa kwenye kambi zilizotengewa kwa ajili ya walioathirika na ugonjwa huo.

Nipashe ilitembelea katika Kambi ya Mburahati wilayani Kinondoni jana na kushuhudia madaktari na wauguzi wakiendelea kutoa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili msimamizi wa kambi hiyo, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo Idara ya Afya Wilaya ya Kinondoni, Alfred Ngowi, alisema hadi...

 

9 years ago

Michuzi

HALI YA KIPINDUPINDU MOROGORO BADO TETE IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA.


Hali ya ugonjwa wa kipindupindu mkoani Morogoro imeendelea kuwa tete baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kungezeka hadi  kufikia wagonjwa 45 ambao wanaendelea na matibabu katika kambi maalum katika hospitali ya sabasaba mjini Morogoro.
 Akizungumza na mtandao huu afisa afya mkoa wa Morogoro Carlesilas Lyimo amesema kutokana na kasi ya ongezeko la kipindupindu maafisa afya wamefanya operesheni katika maeneo mbalimbali yanayotoa huduma za chakula na vinywaji na kufanikiwa kukamata na...

 

9 years ago

Michuzi

WAGONJWA WA KIPINDUPINDU KWA MIKOA YA ARUSHA NA MWANZA WAFIKIA 171

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.TAKWIMU za Ugonjwa wa Kipindupindu zinaonesha kupanda kwa mikoa ya Mwanza na Arusha kwa kuwa na wagonjwa 171, kutoka wagonjwa wa mwanzo 105.
Katika mkoani Arusha maambukizi yameongezeka kutoka wagonjwa 60 hadi kufikia wangonjwa 111 huku mkoa wa Mwanza maambukizi mapya kutoka wagonjwa 45 hadi 60.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kasi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali haina wagonjwa wapya wa Ebola

Waziri wa Afya wa Mali amesema kwa sasa haina maambukizi ya virusi vya Ebola baada ya siku 42 za kutokuwa na wagonjwa wapya .

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu atembelea kambi ya wagonjwa wa kipindupindu Nyankumbu, Geita ahimiza usafi

IMG-20160104-WA0008

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akivaa vifaa maalum vya kujikinga na kipindupindu kabla ya kuingia kwenye kambi hiyo, kulia ni Mganga mfawidhi wa Kituo hicho Josephat Msafiri.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe.  Ummy Mwalimu ametembelea katika kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu Nyankumbu, Wilayani Geita  mapema Januari 4 huku akiitaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani