HALI YA KIPINDUPINDU MOROGORO BADO TETE IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA.
Hali ya ugonjwa wa kipindupindu mkoani Morogoro imeendelea kuwa tete baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kungezeka hadi kufikia wagonjwa 45 ambao wanaendelea na matibabu katika kambi maalum katika hospitali ya sabasaba mjini Morogoro.
Akizungumza na mtandao huu afisa afya mkoa wa Morogoro Carlesilas Lyimo amesema kutokana na kasi ya ongezeko la kipindupindu maafisa afya wamefanya operesheni katika maeneo mbalimbali yanayotoa huduma za chakula na vinywaji na kufanikiwa kukamata na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziIDADI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU YAONGEZEKA KINONDONI
Chalila Kibuda,Globu ya jamiiUGONJWA wa kipindupindu unazidi kusambaa katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi habari leo Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni,Aziz Msuya watu waliofariki katika manispaa hiyo watatu.Amesema idadi ya wagonjwa katika manispaa imezidi kuongezeka kutoka 34 hadi kufikia 43.
Amesema dalili za huo ni homa kali ,kuharisha pamoja na kutapika na kuongeza kuwa mtu akifikia dalili hizo awahi katika kituo cha afya.
Aidha amesema kujiepusha...
9 years ago
StarTV04 Sep
Hali tete Kipindupindu Dar.
Serikali imesema bado hali ni tete ya kumaliza maambukizi ya ugonjwa wa kipindipindu mkoani Dar es salaam ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu kumi.
Kutokana na hali hiyo, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick amevifungia visima 20 vya maji vilivyobainika kuwa na vimelea vya kipindupindu pamoja na kupiga marufuku uuzaji wa vyakula mashuleni.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meck Sadiq amesema tangu kutokea kwa mlipuko wa kipindupindu, wamepokea wagonjwa 636 katika vituo vya...
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi 24 kisiwani Zanzibar Tanzania
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi kufikia 700 Kenya
10 years ago
BBCSwahili17 May
Hali bado ni tete Burundi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpE-g8AtbJatQQ8KoTd-zaJahkWd35RY8Uew11BqGTedh2nY19U3EuhtjlScCsFuj2vAjE6hy*bUMR5Npy2BDjzC/BREAKINGNEWS.gif)
STRABAG BADO HALI TETE
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe6i0dUA60*YKC1SbibWgd*7u5je8aVbxncPEaXmr72N-DbLFlzqgyR2VDqVpfh7x*z1bDsNbIMrCeSdxA1JsFOr/_78140084_6f33b377bfcb4dd895a4196de63a0706.jpg?width=650)
BADO HALI NI TETE KWA PISTORIOUS
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Hali bado tete mjini Mandera