Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindupindu Dar chaua 10, wagonjwa sasa wafikia 65

Jumla ya watu 10 hadi kufikia jana walikuwa wameshapoteza maisha kutokana ugonjwa wa kipindupindu jijini Dar es Salaam huku 93 wakiwa wamelazwa kwenye kambi zilizotengewa kwa ajili ya walioathirika na ugonjwa huo.

Nipashe ilitembelea katika Kambi ya Mburahati wilayani Kinondoni jana na kushuhudia madaktari na wauguzi wakiendelea kutoa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili msimamizi wa kambi hiyo, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo Idara ya Afya Wilaya ya Kinondoni, Alfred Ngowi, alisema hadi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAGONJWA WA KIPINDUPINDU KWA MIKOA YA ARUSHA NA MWANZA WAFIKIA 171

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.TAKWIMU za Ugonjwa wa Kipindupindu zinaonesha kupanda kwa mikoa ya Mwanza na Arusha kwa kuwa na wagonjwa 171, kutoka wagonjwa wa mwanzo 105.
Katika mkoani Arusha maambukizi yameongezeka kutoka wagonjwa 60 hadi kufikia wangonjwa 111 huku mkoa wa Mwanza maambukizi mapya kutoka wagonjwa 45 hadi 60.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kasi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 36 Dar es Salaam

Watu 36 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa kipindupindu katika Jiji la Dar es Salaam tangu Agosti 15.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua mwingine Dar

Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu ulioikumba Dar es Salaam, imeongezeka na kufikia watatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 21 Mwanza

Watu 21 wamefariki dunia na wengine 670 kulazwa katika kambi mbalimbali kutokana na kuugua kipindupindu tangu kilichoibuka mkoani Mwanza Septemba.

 

9 years ago

Habarileo

Kipindupindu chaua 2 Dodoma

WAKAZI wawili wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa, wamefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wa kipindupindu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaua 17 Mwanza

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuleta maafa mkoani hapa, baada ya kusababisha vifo vya watu 17 na wengine 268 kulazwa katika vituo mbalimbali vya afya tangu Septemba, mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Kipindupindu chaua wawili Dodoma

ganjaWATU wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamelazwa katika vituo vya kutolea huduma ya kwanza katika wilaya tano za Mkoa wa Dodoma kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Ofisa Afya wa Mkoa wa Dodoma, Edward Ganja alisema watu wawili wamefariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika Wilaya ya Kongwa.

Ugonjwa wa kipindupindu umeripotiwa kuingia mkoani hapa tangu Septemba mwaka huu katika wilaya za Kongwa, Chamwino, Bahi, Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani